Wasingekula tunda wangemla nyoka na tusingekua na mateso haya
AMRI YA KWANZA WALIYOPEWA ADAM NA HAWA NI "Zaeni muongezeke mjaze Dunia" Mwanzo 1:28.Na pengine asingezaliwa mtu wangebaki wenyewe tu
AMRI YA KWANZA WALIYOPEWA ADAM NA HAWA NI "Zaeni muongezeke mjaze Dunia" Mwanzo 1:28.
Amri ya Pili "Matunda ya ujuzi wa mema na mabaya msile"
Hivyo wasingekula tunda Wangezaa watoto kwa kutekeleza amri ya 1.Kuzaa ni Baraka ya Mungu
Naomba neno ...PENGINE.... kwenye maandishi yangu lizingatiwe
Na pengine asingezaliwa mtu wangebaki wenyewe tu
Kama Adam na Hawa wangekuwa wachina shetani asingekwenda kuwadanganya akiwa na mwili wa nyoka, angetumia mnyama wasiempenda kumla kama... kobe labda... au fisi... au mwewe... au mwingine yeyote wasiemla. Shetani anajua wasichokula wachina, ndo angetumia hicho.
Hivi wanaposema Nyoka inamaana shetani? Na je alikuwa na umbo la nyoka wa sasa? Maana naona baada ya kulaaniwa ndiyo alipewa adhabu ya kutembea kwa tumbo
well said great thinkerKama Adam na Hawa wangekuwa wachina shetani asingekwenda kuwadanganya akiwa na mwili wa nyoka, angetumia mnyama wasiempenda kumla kama... kobe labda... au fisi... au mwewe... au mwingine yeyote wasiemla. Shetani anajua wasichokula wachina, ndo angetumia hicho.
Nyoka sio shetani... nyoka ni kiumbe kama wewe na mimi... au ushawahi kuona nyoka akiongea? Shetani alimwingia nyoka akamtumia, huenda adhabu ni kwa sababu ya kukubali kutumiwa... Dhambi ya kukubali kutumiwa mbaya sana, si unaona wengine imebidi wafukuzwe vyama vya siasa kwa sababu ya kutumiwa...
Wachina labda cjui angetumia mwili wa nini coz wanakula hadi panya mkuuKama Adam na Hawa wangekuwa wachina shetani asingekwenda kuwadanganya akiwa na mwili wa nyoka, angetumia mnyama wasiempenda kumla kama... kobe labda... au fisi... au mwewe... au mwingine yeyote wasiemla. Shetani anajua wasichokula wachina, ndo angetumia hicho.
Kwa hiyo Shetani alimuingia Nyoka au Nyoka ni lugha tu iliyotumika kumuelezea kiumbe aliyewadanganya