Kama $400,000 zinazalisha 400 megawat- Rusumo Falls , je kwanini Serikali inakubali kutumia $2.9bn kuzalisha 2100 megawatts?

Yaonesha ulisoma yake masomo yasiyohitaji nguvu nyingi ya ubongo. Ninavyokufahamu una uzito wa kilo 70 mimi nina kilo 75. Ajabu siku ile tulipokaa kupata luch ulikula plate 5 za pilau nami nikala moja tu ya ujazo ule ule! Ulifanya hizo hesabu zako za kizembe?
 
Kwanza hazipo sehemu moja hivyo lazima bei itofautiane, pili wajenzi wanaangalia faida ukitaka kutangaza tenda Ya pipi Lazima bei Iwe juu ili atakayeshinda aone faida la sivyo Hakuna atakayeshindania Hiyo tenda Kama faida ni kiduchu.
 
Akiri za watanzania kujifanya wanajua kila kitu unaleta hesabu za cross multiplication tofauti ya eneo tu ni kigezo tosha kwa uwiano wa bei kuwa tofauto ungelinisha tofauti ya bei kwa wakandarasi kwa kila mradim

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Factors ni nyingi
Rusumo ni mali ya nchi 3,Stiglers gourge ni mali ya Tanzania tu.
Rusumo ni mkopo toka Word Bank,wakati Bwawa la Rufiji ni pesa za serikali.
Wakandarasi ni Tofauti.
Waliofanya mapatano ya mikataba ni watu tofauti
Arab Contractor ni kampuni ya serikali ya Misri,mkataba wao upo nafuu kuna siasa ndani tofauti na Rusumo.
Fidia ni sawa sawa na hakuna kwenye eneo la bwawa la Rufiji.Wakati Rusumo kuna maeneo yalihitaji fidia.
Pia umbali kutoka bandari na kusafirisha mitambo. Rusumo ni mbali sana.
 
Kuna jamaa aliwahi tuletea mvua ya pakti kutoka Thailand, eti yakujaza mtera. JPM abarikiwe sana anakua kubajeti hela yetu.
 
Hizo $400m dollar ni mchango wa nchi tatu si Tanzanian wanayoa zote na ni mkopo toka world Bank... Kila nchi itapata MG kutokana na % ya mkopo waliochukua WB.....taarifa zaidi nenda website ya wizara ya ujenzi za Rwanda,Burundi na tz na website ya WB hizi information zipo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani umeenda nje ya mada, mtoa post anazungumzia kutumia $400m kwa MG80, halafu huku mnatumia $2.9 billion kwa MG 2100 kuna uhalisia au kuna mtu anapigwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom