Kalonzo Musyoka aijia juu Synovate | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kalonzo Musyoka aijia juu Synovate

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kapotolo, Apr 7, 2011.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Apr 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Makamu wa rais wa kenya Kalonzo Musyoka amezijia juu taasisi zinazofanya opinion polls na kusema ni wachochezi na kuitaja Synovate kama mojawapo ya taasisi hizo.

  Alisema haiwezekani mtu anakusanya watu 15 sehemu anawauliza maoni yao halafu ana-generalize kwamba hayo ni maoni ya wakenya wote.

  Amesema si kweli kwamba tafiti hizo ni za kisayansi, na ametaka kuwepo kwa sheria za kuzibana hizi taasisi kwani zinaweza kuhatarisha umoja na amani ya nchi.

  Source: KBC1 Habari.

  I think he has a point, hizi taasisi zichunguzwe, wanafanya utafiti wa kupatia funds na si kusaidia nchi.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hivi, Redet huwa wanafanya opinion polls nchi zingine pia, tofauti na Danganyika?
   
 3. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kama kawa kwa watawala wetu! They always want something that favors them, disfavoring their political ambitions ni kuhatarisha amani na umoja wa taifa! Kweli tuna kazi Africa kujikwamua hapa tulipo. Laiti hizo kura za maoni zingeonyesha vice-versa tungemsikia akijipigia chapuo na kundi lake la KKk-alliance!
   
 4. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #4
  Apr 7, 2011
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  You also have a point
   
Loading...