Kaliba na Kadhia

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,129
2,000
Haya maneno nimeyakuta uzi fulani, hakika yamenitoa kamasi, nisaidieni wakuu
 

Dotworld

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
3,946
2,000
.
Kadhia= affairs, incident, event, happening; misfortune.

Hilo lingine sina jibu la harakaharaka Amavubi
.
 
Last edited by a moderator:

Masuke

JF-Expert Member
Feb 28, 2008
4,614
1,250
asante, kwa hiyo wakisema mtu wa kadhia nfulani wanaanisha hivi? uzi ulisema watu wa kaliba na kadhia mbalimbali
Kaliba inatokana na neno la kiingereza Calibre lenye maana ya kiwango, ubora, mwenendo na mengine kama hayo.
 
Top Bottom