Kali ya Mwaka

HekimaMoyoni

Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
55
Reaction score
18
wana JF, imeikuta hii mahali nikaona niwawekee...

Palitokea mkutano wa madactari bingwa kutoka nchi 3 China, Ujerumani, na Tanzania. Wakawa wanajadili mafanikio yaliyofanywa na nchi zao. Mchina akaanza kwetu alizaliwa mtoto hana mkono tukamuwekea mkono na sasa ni mpiganaji wa karate .. Mjerumani hiyo kidogo kwetu alizaliwa msichana hana miguu tukamwekea ya bandia na sasa ni mkimbiaji wa olimpiki na ana medali tatu za dhahabu
Mtanzania akacheka akasema kwenu bado hamjafikia rekodi yetu sisi hapo bagamoyo alizaliwa kijana hana kichwa tukamwekea nazi na sasa ni rais
 
duuh nimecheka sana angalau umerekebisha siku yangu maana mgao, bei ya sukari...
 
Hahahaha! Kweli u have made my day. Hata mm nilikuwa cjaiona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…