KALI LINUX the best OS ever seen

mcmalck

Senior Member
Joined
May 25, 2012
Posts
134
Reaction score
57
Habari zenu wakuu! Naomba kutengeneza hii thread maalum kwa ajil ya hii operating system, mim nimeanza kuitumia siku chache zilizopita lakini nilichokuja kuipendea mbali na kuwepo kwa tools nyingi za penetrations testing (hacking), lakini intrested things ni kuwa inakuja na prog nying built in ka VLC, na drivers za wireless. N.k

Karibun wadau tuizungumzie...
 
Attachments

  • 1394452161117.jpg
    23.5 KB · Views: 648

  • Yap ni moja kati ya Distro. nzuli.

Download Official

hapa: http://goo.gl/6uVtKt​
 
mcmalck

Karibun wadau tuizungumzie...[/QUOTE]Hivi kuna OS yoyote inayotoka miaka ya hivi karibuni isiyo support wireless ?
 
Last edited by a moderator:
Mwenyewe nice install ni nzuri ila shida huwezi kuinstall program nyingi za windows. Naitumia Linux ila si hii Kali Linux hivyo sinauhakika kama inatofauti.
 
Mwenyewe nice install ni nzuri ila shida huwezi kuinstall program nyingi za windows. Naitumia Linux ila si hii Kali Linux hivyo sinauhakika kama inatofauti.

Kuna Linux inaitwa OpenSUSE, hii kuna program moja inakuruhusu kuinstall Windows OS ndani ya OpenSUSE.

Kwa maana hiyo ukitaka kutumia program za windows unachepuka ndani kwa ndani unafungua Windows OS unaendelea kutumia, the same time unatumia na OpenSUSE.

Kitu kimoja naipenda Linux ni kutoshambuliwa na virus.
 
Nitaitafuta hiyo OPENSUE naona inaweza kuwa nzuri zaidi
 
.
Zina hitaji PC yako iwe na space ya kutosha
Mi natumia VMware Player ni virtual machine nzuri sana! Natumia kwenye mambo ya ajabu ajabu
Yaani ni unatumia another OS kwenye OS nyingine!
.
Unaweza kutumia Windows XP kwenye 8 au hata 7
.

.
 
Mkuu CodeR hebu nisaidie nikipata hiyo Vmware Player na maelezo yake hadi najua na uwezo wa kutumia windows nikiwa kwenye Linux. Nimejaribu Virtual box wapi nimeshindwa
 
Ni kweli Mkuu zinahitaji space ya kutosha, kwa sasa natumia UBUNTU.
 
UBUNTU NAIONA KAMA SI USER FRIENDLY KAMA LINUX. Mie space ninayo
 
Mkuu CodeR hebu nisaidie nikipata hiyo Vmware Player na maelezo yake hadi najua na uwezo wa kutumia windows nikiwa kwenye Linux. Nimejaribu Virtual box wapi nimeshindwa
.
Kaka mi naona cha msini ni ku run apps tu za windows! Kwenye linux hiyo Vm prayes sijatumia kwenye linux
ila kuna hawa jamaa codeweavers wame release virsion ya 13 sema wanataka hela! Jipange mana kuna free sijui ya siku ngapi!

.
Ingia hapa
Run Windows on Mac and Linux, easily and affordably
 
Kwenye OpenSUSE kuna Vitual Machine na kwenye UBUNTU kuna Wine. Tofauti yake ni kuwa Vitual Machine inakupeleka kwenye Windos OS na Wine inakuruhusu ku run program moja kwa moja kwenye UBUNTU.
 
UBUNTU NAIONA KAMA SI USER FRIENDLY KAMA LINUX. Mie space ninayo

ubuntu ni linux kijana, linux ina distribution nyingi sana like opensuse, fedora, ubuntu, linux mint etc, know that linux ni just kernel. Unaweza install ubuntu halafu ukaweka desktop manager nyingine like xfce, kde, gnome shell, cinnamon and more ambazo zitakupa interface unayoitaka

Sent from my Nokia Lumia
 
Mimi napendekeza iwepo Official Thread ya Linux ili mtu atakayetaka kujua kitu chochote kuhusu Linux anakwenda huko. Watu wengi wanasema OS za Linux ni ngumu, hii inatokana na ufahamu mdogo kuhusu Linux.
 
mie nilianza na zorin os nikaja ubuntu nikaenda linux mint sasa nimerudi zangu ubuntu linux zipo bomba sana..
 
aisee naomba unielekeze nitaipataje jf kwenye tapatalk
 
Hivi kuna OS yoyote inayotoka miaka ya hivi karibuni isiyo support wireless?

Labda hujanielewa icho kigezo cha wireless drivers ni kigezo kimoja wapo kati ya vingi nilivovipenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…