KALI 20: Nyimbo za mapenzi

KALI 20: Nyimbo za mapenzi

Ntuzu upo?naona umemwaga like na kutokomea,au na wewe ulikuwa unamfuatisha Vanessa nini?teh teh
Nimejificha huku kwa el nino napumzisha akili ndugu yangu maana yale majukwaa yetu yanaumiza kichwa na wiki hii kazi ngumu,sasa ufanye kazi ngumu,halafu uingie mtandaoni mada ngumu?no,bora huku unapiga mzigo huku unarefresh!

Mkuu nipo kabisa mkuu.

Mwanangu anga hizi ni nzuri sn... Naweza leta list ya nyimbo Za nje Za mapenzi nikajaza page zote..!

Niseme tu wazi mkuu napenda sn nyimbo Za mapenzi...!
 
Last edited by a moderator:
★mariah carey ft ne-yo angels cry
★paula de anda–when it was me
★laura pausin-it's not goodbye
★mario-let me love you
★avant ft Nicole Schwarzengger - lie about us
★celine dion-love me back to life {exclusive 2013 album}
★john legend -all of me
★????—love paradise
★careless whispers
★shania twain— when you kiss me
★kenny Rogers & Dolly parton -island of the stream
★time after time (Cindy version)
★shayne ward_breathless
★craig david_unbelievable
★ne-yo_together
★arash_broken angel
★toni braxton_unbroken my heart
★chris brown_say goodbye
★katty Perry_legendary lovers
★usher & Alicia keys_my boo

love paradise kaimba Kelly Chen.
 
Huu wimbo ukimfuatisha Vanessa anavyoimba hizo scale zake utatokomezwa kusikojulikana!Ukiusikiliza unaonekana ni melodic singing lakini kuna kona fulani za ghafla na hatari mno.Mara kaingia hapa,katokea huku,kapanda kule,karukia huko,yaani atakutembeza kwa miguu toka Jo'burg hadi Alexandria na bado utamkosa teh teh!scale za hatari zile,mara kapishana na vyombo,mara karudi kwenye mstari,mara kama vile anataka kwenda flat ghafla anarudi kwenye mstari,ghafla katoka tena,daah,dada mtundu huyu!mnaoelewa muziki wa darasani mmenisoma.
Narudia tena,hawa watu wamemaliza kila kitu kwenye muziki,wachoyo sana,hawakuwaachia wenzao japo tone!
Waacheni akina Nicki Minaj waimbe mapambio yao tu,manake hawajaachiwa hata makombo,teh teh!

usemayo kweli ht mamtoni miziki yao siku hizi hovyoo mi hy sielewagi wakati waliopita jamani yaani ukisikiliza unaweza kulia kwa furaha
 
Mnasahau, love is strange by kenny Rogers and dolly parton
Girl in a life Magazine by boyz II men
 
Back
Top Bottom