Kaletewa Taarifa gani?

Kaletewa Taarifa gani?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
IMG-20170722-WA0064.jpg

Unavyohisi jamaa atakuwa kaletewa taarifa gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahaaa!!! Hapo tayar matokeo ya kugonganisha vikojoleo yametoka...

Usiombe hyo hali ikukute inafikia kipind geto unakikimbia, mbaya zaidi ukimshauri kutoa awe anakata. Hahahaa
 
Teh teh

Jitu jeusi is system developer & programmer, Mungu anatupenda sote
 
Halafu mtoa taarifa ambaye anaonekana kuwa ndiye mhusika wa taarifa wala hana wasiwasi.
 
"Rich, nina mimba yako....na waalimu washamwambia baba.....hata sijui nifanyeje !! ! "
 
Hapo unajumlisha 26 years zako plus 3o unagundua tayar itakua na miaka 50 na 6 dah unaanza. Kufikiria kaz ngumu unagundua ukitoka muonekano wako utazidi MTU Wa miaka 79 unafikiria hali mbaya ya Yale maeneo unagundua ni ngumu kutoka ukiwa hai dah unataman uamke ili yote yaliyotokea iwe ndoto lakin unakuta masaa na dakika zinaenda
Hapo ndio unaanza tambua
Ule usem kuwa uyaone haujawah kumuacha MTU salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
'Tutafanyaje sasa?...nimepima jana!Yani siamini.'.
 
Jamaa hapo anapiga mahesabu jela gani itamfaa...........maana kashazingua
 
Jamaa hapo anapiga mahesabu jela gani itamfaa...........maana kashazingua
Ukipatwa na hali kamaa hiii, wewe anza mazoezi ya kijelajela mapema ili ukifika uko usiwe mgeni na maumivu yanakuwa si makubwa maana utakuwa ushayazoea.
 
Back
Top Bottom