Kalenga kama Arumeru mashariki

Kalenga kama Arumeru mashariki

msambaru

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
245
Reaction score
109
Wakati harakati za kujaza nafasi iliyoachwa wazi na mgimwa. Jimbo la kalenga linaleta mfanano kama arumeru mashariki. Anaegombea kupitia nyinyiem ni mtoto wa mtangulizi wake ambae ni baba yake mzazi. Hajui kiswahili vzr km alivokua sioi sumari babayake alikuwa waziri wa fedhs km mgimwa.wanataka kurithishana jimbo km utawala wa kifalmena matokeo yatafanana km yalivokua arumeru.
 
Maccm ,yamechaangannyikiwa kalenga
 
Ila Chalinze ni tofauti maana nasikia Kampeni manager atakuwa mama mkubwa! Unacheza na familia nambari one wee! Kwenye uchaguzi mambo ni kiukoo zaidi.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Wtz inabidi tubadilike.huu mpango wanaokuja nao ccm.walalahoi.watakuwa hawana chao ndani ya ccm.baba akifa nafasi anaandaliwa mtto. Cjui km wenyewe ccm awajastukia hili.lkn vigogo wamekumbatia hili swala wanajua kinachoendelea Hawa wengine.wachini pesa inatembea awajitambui km wameuzwa kiaina.jaluo akifa nafasi anachukua mtoto hata km uwezo hana lkn jaluo alikuwa maarufu jina kubwa.wengine wakijaribu wanakatwa je kwamtindo huu miaka 20 siwote watakuwa watoto Wa vigogo
 
Magaidi yanayomwagia watu tindikali na kuwalisha sumu hayatakaa yashinde kalenga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom