Kalenda ndo hii acha kumsingizia mpenzi wako

Beberu-mpya

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
216
104
Habari ya mjini ndo hii hapa acheni kutupa watoto ambao hamjawakusudia kuwapata kwa wakati.
FB_IMG_1471372740187.jpg
 
YA UWONGO....


Unadhan kwa wanawake hawa watano wenye urefu wa mizunguko ya hedhi tofauti 28,30,35,21, na 32.. watakuwa na kalenda sawa?.


kalenda kama hiyo iliandaliwa kwa ajili ya wanawake wenye urefu wa wa siku 28 TU.
 
Normal cycle 28 days. So minority wanaifal otherwise depending on some factors wataadjust kulingana na situation zao.
 
Back
Top Bottom