Hawatakusikia wala kujali.
Kundi lililoshika mpini wana malengo yao. Yawe mabaya au mazuri
Anaturudisha misri hakyananiYeye anajali Wazinbari, pwani. Kikwete Gangs.ndugu zake.
Tunatalawila na Mwanamke ambaye hana uwezo wowote wa kuongoza chochote.Anaturudisha misri hakyanani
Misri tulisharudi tayari, sasa kuupata mlango wa kaanani iiiii sijui, embu ona umeme unakatika SAA 7 mchana , SAA 12 na nusu unarudishwa SAA 1 unakatwa SAA 4 usiku eti ndiyo wanarudisha hii ni Misri tosha.Anaturudisha misri hakyanani
Nakubaliqna na wewe kabisa mkuuKaleman good man
Kelemani ndo alikua anakojoa mvua ati eeNaandika huu uzi nikiwa na masikitiko makubwa kwa hali hii inavyoendelea sasa ya kukatika kwa umeme.
Binafsi shughuli zangu zinahitaji uwepo wa umeme kwa 100%.
Wakati wa Kalenani hata ikitokea umene unakatika basi hayazidi masaa matatu na hilo hutokea kwa mwezi mara moja.
Lakini toka aje huyu waziri mpya binafso sijaona tija yoyote iliyoletwa nae kwenye wizara hii. Mh. Rais tunaomba utusaidie kufanya mabadiliko uturejeshee Kalemani. Tukishasahau haya mambo ya kukata kwa umeme.
Shughuli zetu zimesimama hatuna tunalolifanya. Mh. tunaomba usikie kilio chetu hii wizara inamfaa yule aliyeondoka. Huyu aliyepo ungempa wizara ya mazingira sio hii haiwezi.
Mkuu huko mkoani kwenye mabwawa saizi ni masika mvua inanyesha kila kukicha hata dodoma ambako ni jangwani saizi inanyesha sema huyu jamaa na genge lake wanataka kupiga hela kwenye miradi ya gesiKelemani ndo alikua anakojoa mvua ati ee
Duh,nina mashaka sana na uelevu wako kwani maneno unayoandika sijui kama yanatoka kwenye kichwa chako,tumemwamini na tumemkabidhi awe jemedari wetu wa kuongoza jahazi hili.Halafu kumbuka pia u-rais ni taasisi si vinginevyoTunatalawila na Mwanamke ambaye hana uwezo wowote wa kuongoza chochote.
Umemjibu wa nini?Mkuu huko mkoani kwenye mabwawa saizi ni masika mvua inanyesha kila kukicha hata dodoma ambako ni jangwani saizi inanyesha sema huyu jamaa na genge lake wanataka kupiga hela kwenye miradi ya gesi