Kalapina ampondea Sugu

Kalapina ampondea Sugu

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,894
Reaction score
37,631
Nabii Koko Kalapina anasema watu wawaache wasanii wakongwe wale pensheni zao na michongo mingine ya kuwaingizia pesa sababu wamesota sana na huu muziki.

Kupitia page yake Kalapina ameandika 👇

"Acheni tule pensheni kidogo huu mziki tumesota nao mno na kama kuna kiumbe ananuna maniga kupata mchongo. Huyo atakuwa mwiba huyo".

Kalapina ni kiongozi wa Kikosi cha mizinga na mwanaharakati matumizi wa dawa za kulevya kwa vijana anajulikana zaidi kwa style y
1000091468.jpg
ake hii ya kuziba jicho moja.

#EastAfricaTV #TogetherTunawakilisha.

Credi : East Africa TV Facebook Page
 
Nimemaliza kusoma comments zote, sijaona wapi sugu alipodisiwa, na sababu ya kudisiwa kwake

Ikiwapendeza, wekeni taarifa kamili ili tusome na kuelewa wote. Sio wote tunapatikana mjini Instagram
We huoni hapo kwenye Uzi Kala Pina anamuita Sugu mwiba? Su hujui maana ya mwiba mkuu? Ni hivi Sugu kalidiss tamasha la miaka 30 ya Bongofleva ndo Pina kamjibu kwa staili hiyo
 
We huoni hapo kwenye Uzi Kala Pina anamuita Sugu mwiba? Su hujui maana ya mwiba mkuu? Ni hivi Sugu kalidiss tamasha la miaka 30 ya Bongofleva ndo Pina kamjibu kwa staili hiyo
Huyo Kalapina bila kubebwa na hao vilaza ataalikwa kuperform show ipi?

Usela mavi wa kuziba jicho moja zima ni wa kizamani sana Marekani walishatoka huko miongo kadhaa.
 
We huoni hapo kwenye Uzi Kala Pina anamuita Sugu mwiba? Su hujui maana ya mwiba mkuu? Ni hivi Sugu kalidiss tamasha la miaka 30 ya Bongofleva ndo Pina kamjibu kwa staili hiyo
Ilipaswa kwenye maelezo yako uambatishe na hiyo diss line ya sugu ili sote tuisome

Otherwise tunajua sote, sugu hawezi kushiriki matamasha ya hivyo

Kwa mafanikio aliyonayo, sio rahisi the real jongwe kushiriki hilo tamasha, as yeye anaona ni kama wamekuja kuua idea yake ya bongofleva honors
 
Kuhusu kuharibiwa kwa Bongo Flavor Honours niliwahi kuandika kuhusu hilo hapa JF
 
Back
Top Bottom