Kalamu yenye camera

Kalamu yenye camera

Wakuu kwa mwenye ufahamu anisaidie.nimenunua kalamu yenye camera,video,audio na flash.haina manual.naambiwa yaweza record sauti,video,picha za kawaida.ila nimeweza kupiga picha tu na nimeziona kwenye computer.sasa vipi kuhusu kurekodi,na video? Naulizia
<br />
<br />
mkuu,ukifungua hiyo kalamu tizama vizuri juu ya sehemu unayochomeka usb utaona kuna button ambayo unaweza kuitwist kushoto au kulia,upande mmoja ni video na mwingine ni audio,ukitaka kurekodi press hold button iliyoko juu ya hiyo pen ,kuna tundu dogo ambalo liko oposite na hidden camera utaona inawaka taa ya njano then blue,ikiwaka ya blue then ujue inafanya kazi!nimeziuza sana hizi kalamu na miwani mwaka juzi,zote ni za kichina hata manual hazielezi chochote
 
nna wasiwasi hii itakuwa camera yenye kalamu sio kalamu yenye camera...
 
siyo hizi hapa chini
pens camera - Tafuta na Google

au hii pen kameraSL300_.jpg

by rutunga
 
tech iko muda inatumiwa sana na wapelelezi,au wa andishi wapelelzi
 
kuna chupi za wanawake zina camera ...water proof ...nani anataka?
 
Back
Top Bottom