Wakati mwingine, watu unaowaamini wanaweza kuwa ndio wanaokuingiza kwenye matatizo makubwa maishani. Musa Makanga, mwendesha bodaboda wa zamani, anasimulia jinsi alivyosalitiwa na mtu ambaye alidhani ni rafiki yake.Jamaa Aliyetumikia Hukumu ya Maisha
Baada ya Kukutwa na Simu ZilizoibiwaMusa Makanga anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kupatikana na simu ya wizi. UGCNini kilimfanyikia Makanga?Awali alihukumiwa kifo, adhabu ya Makanga baadaye ilirekebishwa na kuwa kifungo cha maisha.
Akikumbuka athari za kufungwa kwake, alisimulia mabadiliko makubwa katika maisha yake, ikiwa ni pamoja na kupoteza mke wake na kutokuwa na uhakika juu ya mahali alipo mtoto wake.MAKINIKA:
NyumbaniYote yalianza Septemba 2, 2013, rafiki wa Makanga alipompa simu ya mkononi iliyokuwa ya wizi. Bila kujali madhara hayo, Makanga alichukua simu bila kujau kilichokuwa kinamsubiri.Makanga, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha maisha jela katika Gereza la Naivasha Maximum kwa kumiliki simu ya rununu iliyoibiwa, anasimulia kupokea simu kutoka kwa rafiki yake wa muda mrefu, Hesbon Ng'ang'a, ili kujaribu utendakazi wake kwa kuingiza SIM kadi yake.
Akiongea na Inooro TV, alisimulia kuwa alipoingiza SIM kadi simu yake ilimfanya aingize PIN yake, jambo ambalo alilifanya. Baadaye, simu iliomba nenosiri kabla ya kuzima.Wakati huohuo, aliamua kuleta simu kwenye hoteli ya dada yake ili aichaji. Alitaja zaidi kuwa aliipata simu hiyo takriban saa kumi na moja asubuhi siku iliyofuata kabla ya kuendelea na kazi yake ykawaida.“Nilipoichukua simu niliwasha, niliweka namba yangu ya siri, lakini sikuweza kuipata tena kwa sababu sikuwa na neno la siri, ndipo nilipomwambia dada ampe Ng’ang’a simu hiyo akiikujia."Alimwagiza dadake amtaarifu Ng'ang'a kuhusu kumpa neno siri la kuifungua kwani ilikuwa imekataa.Mahabusu huyo aliongeza kuwa wiki moja baadaye, Septemba 9, 2013, takriban saa 3 usiku, wanaume watatu walimwendea katika eneo lake lake la kawaida wakamwomba jina lake, na baadaye kumkamata.Pia somaMagazeti:“Nilipoulizwa kuhusu simu hiyo niliwaambia kuwa alinipa rafiki yangu, wale vijana tuliocheza nao mpira walikwenda kumtafuta na kumleta katika ofisi ya chifu iliyopo Baruko, Ng’ang’a akakubali hilo alinipa simu kisha akakamatwa pamoja nami," alisema.