Kala Pina kugombea Ubunge Kinondoni

bora agombee kweli,ila kwa jimbo la kino atapita kweli,maana ccm hapo ndio kwao
 
hili tatizo limeletwa na misisiemu, lazima mbunge awe na historia ya uadilifu pamoja na kiwango kizuri cha elimu walau waanzie form six kwenda mbele sasa form four failure aweza kuwa mbunge zama hizi! ?
 
Back
Top Bottom