GANJA ROLLER
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 709
- 274
ROMA kazingua..
Kwanini aige style ya Prof Jay??
Pia sijaona jipya ni Idea ya Kikao cha dharura ya Prof Jay..
Wasanii waumize kichwa, wasiwe watu wa copy and paste.
Mbona walishafanya kitambo sana ile ya WAAMBIENI hii ni ya pili nadhani.nilikua natamani sana siku moja hivi vichwa vifanye colabo na sasa imekua japo sijaisikiliza ila naamini itakuwa bonge la pini
Sijakuelewa vizuri hapa mkuu GANJA ROLLERhalafu jamaa kama alikuwa kapaniki hivi mara achengane na kick sijui kilalulalu cha kuhofia kufunikwa
Jamani mwenye nayo anitumie hapa 0659777650 plz