Huu wimbo unapigwa sana katika TV hasa clouds , tofauti na wasanii wengine wanaoimba mapenzi Kijana kamshirikisha Roma na elimu imetolewa katika kiwango cha juu cha melody na picha ningalipenda watanzania wakausikiliza na kutazama video yake . Hawa ndio wanastahili tuzo za kitaifa za uzalendo na sanaa kwa ujumla kwa kufikisha ujumbe bilakupindapinda. mwenye ka picha you tube atusaidie tafadhali
Mweshimiwa unawasikia wapiga kura?
Nawasikia na na waahidi mambo mema hujaga mbele ya safari
Wapiga kura memsikia mweshimiwa
Tunamsikia lakini hatumwelewi, Jinsi tulivopigika hata hatujielewi