Sina chuki yeyote na kakobe, sisi wote tu mfano wa MUNGU why nimchukie,
Nayachukia matendo yake, aamue moja
agombee ubunge au achunge kondoo wa BWANA, mwambieni aache tamaa.