Ingekuwa vizuri sana Mchungaji Kakobe angeweka mkazo kwenye dini. Siasa angewaachia wanasiasa. Uchungaji wake unaleta viulizo pale anapoanza kujiingiza kwenye siasa. Aamue moja awe kama Dk Slaa.
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.
Ingekuwa vizuri sana Mchungaji Kakobe angeweka mkazo kwenye dini. Siasa angewaachia wanasiasa. Uchungaji wake unaleta viulizo pale anapoanza kujiingiza kwenye siasa. Aamue moja awe kama Dk Slaa.
hivi kakobe alishapona fungus za mdomoni?.
Kakobe kakuvuruga kabisa ndugu yangu huo ndo ukweli. Magonjwa kila mtu anayake na hapa si sehemu ya kutaja magonjwa ya watu, hapa ni hoja za katiba mpya.
Nakusikitikia sana na kukupa pole hujakomaa bado unahitaji malezi. Jumapili njema
asante kwa kunitakia siku njema.
Ila ujue magonjwa mengine ya kujitakia.kila kiungo na matumizi yake bana.
Ni kweli Mkuu. Nimemshangaa sana mleta uzi kwa kujitoa ufahamu. Ni huyu huyu Kakobe aliyewahubiria waumini wake kanisani juu ya umuhimu wa serikali tatu na kawadanganya eti ni chaguo la Mungu
hivi kakobe alishapona fungus za mdomoni?.
Kakobe mzuia nguzo za umeme zisipite mbele ya kanisa lake. Mbona ulipita. Mpinga maendeleo huyo.Mch.Zakaria Kakobe ameunga mkono kundi imara la UKAWA kusimamia msimamo wao wa kutorudi bungeni kama maoni ya wananchi hayatazingatiwa.Pia amewashangaa viongozi wa wengine dini kuwataka UKAWA kurudi bungeni bila kushauri namna ya kutatua mgogoro."Mbona hamuishauri CCM ijadili rasmi ya wananchi,mnawataka tu UKAWA kurudi bungeni" alisisitiza Mch.Kakobe.Source:Nipashe!
asante kwa kunitakia siku njema.
Ila ujue magonjwa mengine ya kujitakia.kila kiungo na matumizi yake bana.
Ha, kumbe alitumia ndivyo sivyo
Kama unasema hujatoroka, ina maana siku hizi Mirembe mnapewa laptop?Kwani humjui aliyetoroka Mirembe? ...
kakobe alishapoteza mvuto aunge mkono asiunge impact yake ni ndogo sana
na wasishngae akaja na majibu tofauti baada ya muda mfupi
huwa nashindwa kumuelewa the so called KAKOBE
Nakukuba hata Gaddafi alikuwa anasema hao vijana wa Benghaz ni wahuni ni kikundi kidogo tu,kakobe alishapoteza mvuto aunge mkono asiunge impact yake ni ndogo sana