Weston Songoro
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,793
- 1,086
Kwani kati ya UKAWA na CCM, nani majority?Move s3 ni ya majority. Inaweza kuzimwa tu na wachache kwa kutumia jeshi. Kwa mazingira ya kisiasa ya Tanzania jeshi halina mpango huo. Si muda mlefu mwafaka utapatikana.
Hahahahahahahaaaaaa! Kakobe ni zaidi ya msanii.
Kwa vile kawapa za uso ndo mnamuona mpiga debe? Huyo Lumumba ndo Prof wa UKWELI na si hiyu Lipumba kama jina lake lilivyoProf.Lumumba ni mpiga debe wa nini?
Kwani kati ya UKAWA na CCM, nani majority?
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yao
Kwa vile kawapa za uso ndo mnamuona mpiga debe? Huyo Lumumba ndo Prof wa UKWELI na si hiyu Lipumba kama jina lake lilivyo
Halafu mwaka 2010 aliwadanganya kondoo wake kuwa Mzee Slaa ni chaguo la Mungu hivyo wampe kura!
Kwa vile kawapa za uso ndo mnamuona mpiga debe? Huyo Lumumba ndo Prof wa UKWELI na si hiyu Lipumba kama jina lake lilivyo
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yao
Kweli kabisa Mkuu. Kiongozi wa dini akishindwa kuaminiwa na waumini wake ujue hata kwa Mungu hana chake
Kwani kila haki ni lazima iwe ya UKAWA? Hata CCM nao wana haki yao
Mch.Zakaria Kakobe ameunga mkono kundi imara la UKAWA kusimamia msimamo wao wa kutorudi bungeni kama maoni ya wananchi hayatazingatiwa.Pia amewashangaa viongozi wa wengine dini kuwataka UKAWA kurudi bungeni bila kushauri namna ya kutatua mgogoro."Mbona hamuishauri CCM ijadili rasmi ya wananchi,mnawataka tu UKAWA kurudi bungeni" alisisitiza Mch.Kakobe.Source:Nipashe!
Ingekuwa vizuri sana Mchungaji Kakobe angeweka mkazo kwenye dini. Siasa angewaachia wanasiasa. Uchungaji wake unaleta viulizo pale anapoanza kujiingiza kwenye siasa. Aamue moja awe kama Dk Slaa.
angekuwa anaongelea uchanguzi pengine,lakini kuhusu katiba,wewe unaonekana liCCM.Tena kwa taarifa yako tunatakiwa tuwape wao nafasi kubwa sio wanasiasa
Halafu mwaka 2010 aliwadanganya kondoo wake kuwa Mzee Slaa ni chaguo la Mungu hivyo wampe kura!
Kakobe siku zote ni mpiga debe wa wapinzani.