Kakobe Askofu Mkuu wa kudumu FGBF

hao wengine wakitaka kuwa askofuu mkuu wakafungue makanisa yao lile nila kakobe akifa na huduma yake imekwisha
pole sana,kama jambo hulijui ni vizuri ukakaa kimya,kuropoka namna hii unajichumia laana ya bure.
 
Askofu kakobe yuko vizuri angegombea urais nimpe kura yangu ..
 
Huyu ndo Kakobe anayekosoa rais kwa matusi
 
La muhimu Mheshimiwa akatubu na kugeuka asisubiri ghadhabu ya Mungu.
 
Unanilulza mimi ili iweje. Sikiliza mwenyewe! Au bado hujamsikiliza na unajadili JF?
Tatizo lako umekunywa maji ya Bendera hata hujitambui unaimba wimbo usioujua wa kusifia tu!!Badala ya kujibu hoja za Kakobe mmeshaanza kubwabwaja kama misukule!!!Kazi kwenu yeye katoa hoja moja tu LUMUMBA yote wametikisika na kukosa majibu!!!!Fikiria je akitoa nyingine mtaanza kuuliza uraia wake!!!!
 
kwani Magu akitubu lazima atubu kwa Sautii?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

au anataka akatubu Mwenge pale??
 
Ndo uzuri wa anonymity. unapoanza kwa kumsifia Kakobe, hata kama ungekuwa na elimu ya chuo kikuu nitakuona kama uliyepoteza muda. Nakupa ushauri wangu nilioutoa kwa mbumbumbu mwenzako.

Kama una digrii, na kama ulisoma kwa mkopo basi elewa kwamba hilo ni deni bila faida maana uelewa wako unamtegemea Kakobe.
 

Ndiyo maana mimi siwezi kuwa ccm hata siku moja maana walioko huko n kama Mazezeta akili ya kushikishwa .Mimi nimesema Askofu Kakobe ametoa hoja basi njooni mjibu hoja zake siyo kubwabwaja ovyoovyo kama wewe unavyofanya!!!
 
Ndiyo maana mimi siwezi kuwa ccm hata siku moja maana walioko huko n kama Mazezeta akili ya kushikishwa .Mimi nimesema Askofu Kakobe ametoa hoja basi njooni mjibu hoja zake siyo kubwabwaja ovyoovyo kama wewe unavyofanya!!!
Kinachonishangaza umejoin 2007. Kwa miaka yote hiyo, kwa nini hujajiongeza ufahamu? Unavyoandika ni kama unaataraji kujiunga na kidato cha kwanza! Mjadala wa Kakobe na upuuzi wake unaiweka CCM, unatukana ukiamini ndo point, Unaona hoja ya Kakobe wakati haionekani. Hoja ni ipi? Naomba uitaje hiyo hoja ya Kakobe.

btw. mbona unaandika Kakobe ni askofu? Neno askofu unalianza kwa herufi kubwa, ndo uaminifu?
 
FISIEM mmepagawa mko makabulini mnafukua makabuli ya 11-7-2011.
Nendeni na mv bukoba uko sawa.
Mtu chake,anzisha n ww lako sw
 
Wewe ni mbumbumbu huwezi kuelewa chochote sana sana utanisababishia BAN za bure kumbe uelewa wako ni mdogo.Badala ya kujibu hoja za Askofu Kakobe umekomaa kujua nimejiunga lini JF,Kama una ubavu jibuni hoja zake siyo kuanza ku-attack watu ovyo!!!
 
Unafikiri kanisa ni chama cha siasa?
 
Kumbe kanisa huwa ni mali ya mtu sio mali ya wanayomuabudu
Wasemavyo wengi watu ni wajenzi na wasimamizi tu wa hiyo nyumba ya ibada yaani kanisa.
Vipi nyumba ya ibada iwe mali ya mtu hata kama kaijenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…