Kakobe alitumwa?

Watanzania hawa wa jamii forum au hadi wa huko namtumbo?
 
Kuwa na makanisa sio kigezo cha kuwa mtumwa wa kimawazo tuu la kundi la watu ambao hawana masrahi na nchi
Nb... akili ykimejaa matoopppee tuuu
hivi kati ya waumini na supports wa kakobe na ninyi wadudu wa sisiemu ninani mtumwa kimawazo? hoja zenu zote mnazilazimisha tu hadi mnajiona aibu wenyewe jinsi mlivyo empty. hadi nafsi zenu zinawasuta, sema tu kwasababu mnapewa wali ndo mnakomaa. ndio maana nilisema masisiemu vichwa vimechanganyikiwa hadi vimekuwa vya kijani kiasi kwamba hata mkipewa kimba la kijani mnaweza kukikaza na kulitafuna lote.
 
Naogopa kukujibu kwakuwa naona kama hujui hata unachokiongelea, aidha yawezekana hata hiyo siasa pia hujui! Tukikwambia kesho ama leo utwambie kilichotokea kwenye chaguzi za madiwani kwa maana ya mchakato / process hutakuwa na lolote lakusema zaidi ya kukenua meno kwa matokeo/outcomes. We endlea kuamini kuwa hawana agenda!
 
Infact huna cha kujibu.. kila kitu katika uchaguzi ule kilifanyika plus campaign walifanya maeneo yote waliyopaswa kufanya tuambie wapi kama hawakufanya campaign. But hizo campaign hazikua na impact yoyote ile. Na ndo maana wakatafuta sababu za kuweka mpira kwapani baada ya kuona watashindwa uchaguzi. Jipangeni.. sasa hvi mnajificha nyuma ya kakobe ?!
 
LETE USHAHIDI
 
Huwa anaomba kuombewa sasa ataombewaje bila kutubu. Atubu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…