Kakobe alitumwa?

Eti mwacheni anajenga tanzania mpya!! hiyo tanzania mpya inayo jengwa kila mara iko wapi mmetawala zaidi ya miaka 50 miaka yote mlikuwa wapi??
So kwa kuwa miaka 50 hakujafanyika kitu basi inabidi tuache tu. Marekani unayoiona leo ilijengwa zaidi ya miaka 100. Punguani we..
 
Viongozi wanaosikika ni wa Ccm, sijasikia kiongozi wa upinzani wakiongelea hili suala la Rais kutubu.
Hivi unavyotengeneza mkakati wako ukitiki unataka uonekane ili iweje. Sana sana utakunywa zako mvinyo huku umekunja nne na kupiga miluzi. Huku unawaacha nyumbu waendeleze kazi.
 
So kwa kuwa miaka 50 hakujafanyika kitu basi inabidi tuache tu. Marekani unayoiona leo ilijengwa zaidi ya miaka 100. Punguani we..
kwahyo point yko kubwa hapo ni ipi, au hujui kila mtu Yukon kwenye TIME ZONE yake mkuu
 
So kwa kuwa miaka 50 hakujafanyika kitu basi inabidi tuache tu. Marekani unayoiona leo ilijengwa zaidi ya miaka 100. Punguani we..
Hunaelewa nini wewe, hiyo marekani indaendelea kutokana na misingi ilioachwa na waliopita, sio huku kwetu kila kiongozi anatifuatifua na kujidai anajenga tanzania mpya.
 
Kuna paragraph umeanza kuandika kuwa "kwa haya ya Askofu Kakobe Upinzani unajimaliza wenyewe"
Sasa si mkunje mguu mtulie upinzani ujimalize wenyewe?
 
Sijaona points,pumba tupu
 
Kuwa na makanisa sio kigezo cha kuwa mtumwa wa kimawazo tuu la kundi la watu ambao hawana masrahi na nchi
Nb... akili ykimejaa matoopppee tuuu
 
Kwann unapata shida!,kwann unahuzuni moyoni mwako?kwann unamashaka na kile unacho kiamin?

~Na hic hii vita si yako mbona km huna silaha za kutosha,na wala hujajiimarisha ipasavyo?wewe huna mtu hapa duniani mwache mwenye watu unafikir yy haon?

~Umetusaidia kuwaza lkn mawazo yako hayawezi kuwa bora sana labda kama unataka kuwa isabela kwenye mkanda wa sarafina.

~Ungetumia muda huo ulio andika kutafuta pesa aisee ungekuwa mbali saana.haya karibu kula maana kazi yako ngumu,nawa tule basi tumepika kingi.
 
Hunaelewa nini wewe, hiyo marekani indaendelea kutokana na misingi ilioachwa na waliopita, sio huku kwetu kila kiongozi anatifuatifua na kujidai anajenga tanzania mpya.
Kwahiyo unahisi hiyo misingi ilijengwa kwa siku moja au kwa kelele zenu humu? Ssa hvi tunajengewa misingi bora zaidi mnapinga. Hili ndo tatizo la vijana mliozaliwa juzi hamjui tulikotoka tupo wapi na tunaelekea wp.. mnaona tu maisha yanaendelea.
 
Ungetumia the same efforts katika kuandika 'business proposal', ungekuwa bonge la tajiri. Akili unazo, ila hujui uzitumie wapi. Huko uliko siko, umepotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…