Kakobe alitumwa?

Mpumbavu kabisa wewe hata akili huna unawaza kuolewa na bwana huko sisiemu tuu
 
Ndefu,mbaya,inaboa nimeachia njian we ndo umetumwa sasa
 
Wavaa hirizi kiunoni bana kweli mmekamatwa
 
Na bado mtatafutana katu msionane, nmeshindwa hata kusoma ulichoandika pumba tupu.. Kajipange tena kwenye uandishi
 
Viongozi wanaosikika ni wa Ccm, sijasikia kiongozi wa upinzani wakiongelea hili suala la Rais kutubu.

Jamaa wanajistukia ile mbaya, hakuna kiongozi yoyote wa upinzani katokea kuzungumzia hizo kauli za Kakobe ila kuanzia wa ccm mpaka wa serekali mishipa imewatoka ile mbaya. Halafu kwa kukimbia vivuli vyao utasikia cdm wamerukia matukio. Kichekesho hakuna anayejibu hoja zake zaidi ya personal attack. Halafu utasikia awamu hii inaleta maendeleo mara reli ya SG, hata kazi haijaanza, sijui mradi wa Umeme wa stiegler gorge hakuna hata unit moja toka. Hayo madawa tunayoambiwa kila siku yanapelekwa mahospitalini nenda leo ukasikie bei na hadithi kibao. Njoo kwenye rushwa utabaki unacheka tu.
 
Tubuni maana dhambi na dhuluma zenu zimenuka mpaka mbinguni.
 
mpinzani gani mtaje?acha kujitoa ufahamu.Wananchi hawawapendi ndo maana mnahangaika kila akikosolewa Myweather et wapinzani wanasapoti!!!wapinzani gani?watanzania wanatoa maoni yao na kujadili na kukili ukweli wa mambo mnakuja na upuuzi huu.

Nendeni mkalitoe li HILIZI kiunoni huko kuna kiongozi amelivaa huko.



Taifa limegawanyika kabisa.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
 
Hivi serikali ya awamu ya 5 imekonga nyoyo za watanzania katika lipi ?
 
Watanzania wanahitaji elimu bora inayotolewa kwenye mazingira bora, wanahitaji huduma bora za afya zinazopatika kwa urahisi kwa wananchi wote! Hizo methali za Elimu bure iliyo mbovu nani anazitaka? wakati wa kudanganya watu uko ukingoni...unemployment rate inatosha kuwanyoosha vijana wachumia tumbo wa pale Lumumba.
 
Tunaelewa kakobe ni mkereketwa wa upinzani records zipo wazi 1995 alimpigia kampeni mrema,amewahi kumpigia kampeni Dr Slaa kipindi hicho akiwa Chadema na 2015 alimuunga mkono Edo kwahiyo asipigie kampeni kwenye madhabahu aingie kwenye majukwaa ya kisiasa muda ukifika akapambane na akina Bajaj
 
Nafikiri mumkumbushe na askofu Pengo na Mch Gertrude Rwakatare wajiandae kwenda kwenye majukwaa ya siasa pia.
 
Inzi akiacha ujinga ipo siku atatengeneza asali
 
Kungekua na uwekano wa kiteknolojia ningepiga like 100
 
Duh.. yaani leo Kakobe kawa ajenda ya upinzani.. mjomba magu inabidi apunguze hii dozi ni kubwa mnoo
 
Kaka kwani juzi si kulikua na kampeni za uchaguzi wa madiwani na hawa jamaa si walipiga kampeni kwenye maeneo mbalimbali. Niambie ulisikia nni cha ajabu kilichotrend kiasi cha kusema kweli wapinzani wamezuiwa kufanya kampeni basi kuna mambo mengi tuliyakosa. Ukweli ni kwamba hawa jamaa hawana ajenda wala hoja hata uwaruhusu kesho wafanye hiyo mikutano ya hadhara hakuna kitu cha maana cha kuwaeleza wananchi zile zinaitwa zilipendwa. Magu hatoi kiki tena kama enzi zile za jakaya kila kitu anafanya yye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…