kakobe akemea ushoga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kakobe akemea ushoga

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by cilla, Nov 8, 2011.

 1. c

  cilla JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 60
  Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship, Askofu Zacchary Kakobe; leo katika misa na ibada ametamka kwa nguvu na kukemea juu ya agizo la Nchi ya Uingereza juu ya Sheria ya kukubalika na kutambulika kwa MASHOGA katika nchi ya Tanzania.
  Vivyo hivyo Askofu huyu, ametoa rai kwa wanaharakati Tanzania kuandaa maandamano ya kupinga kutengenezwa sheria hiyo. Amesema wakati mzuri wa kufanya hivyo ni kwenye ziara ya Prince Charles na Mkewe Camilla. Vilevile amesema kwa wanaharakati kwamba wakiandaa maandamano hayo wampe taarifa na atakuwa kinara wa maandamano hayo.
  Pia amemwambia Rais Kikwete kwamba naye atoe tamko kuhusu hayo.
   
Loading...