Mwambie asubiri tunamjadala mzito wa bandari huku, anaweza kujitokeza hata kesho kama hana harakaLeo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!
🙆🏾♀️😁😁😁😁Wangeweka picha ya bandari kuuzwa basi angeenda kuigusa
Lakin haijawekwa imebid atulie
AhaaaaaWangemwekea na msudani moja
Kakakuona wa siku hizi michosho.
Waafrika bado tunasafari ndefu sana aiseee.
... babu alinisimulia enzi ile akionekana popote nchini ilikuwa breaking news RTD; hadi Mwl. Nyerere alikuwa anaombwa kutoa maoni yake na Jacob Tesha. Kizazi hiki cha dotCom sijui hata kama kinajua maana ya mila na desturi zetu.Imani za kizamani hizo hamna kitu ka hicho sikuhizi...usipolima kitaalamu hupati mahindi mengi
Tunaishi Kwa imani zaidi kuliko vitendoWaafrika bado tunasafari ndefu sana aiseee.
Kawaonesha kuwa mnapaswa kuweka imani zenu kwa Mungu 🤣🤣🤣Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!
Awekewe bandari hapo.Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!
Niamini atachagua Tanganyika (TPA) over Dubai (DPW) 😎Awekewe bandari hapo.
Asiye na akili..anaishije!?..ulishasikia kakakuona wameshikwa njaa wanahitaji mahindi ya msaada!?..akili ni nini kwa tafsiri yako!?Fikra za kimasikini kusubiri utabiri kwa kiumbe asiyenaakili
Ametabiri nini kuhusu bibi bandari?Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!
Amekataa chochote?! Basi huu mkataba ni feki hatuutaki.Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!
Mbona hawajamuwekea na K Vant?Leo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!