Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,441
- 50,168
Mwambie asubiri tunamjadala mzito wa bandari huku, anaweza kujitokeza hata kesho kama hana harakaLeo asubuhi ya tar 21/06/2023 ameonekana mnyama aina ya kakuona katika kijiji cha Kipala mapakani Kongowe kata ya Mwandege wilaya ya Mkuranga wakamuweka katika ofisi ya kijiji watu wamuwekea vitu mbalimbali lakini kagoma kungusa kitu chochote!