Kakakuona aonekana Dar


kwa hiyo kuna mungu aliyekufa?
 
Mungu aliyehai ni mmoja tu. Naye ni Mungu wa Israel, Niko ambaye Niko, Jehova Mungu wa Milele. miungu (prural) mingine yote ni mifu. Na kwa sababu ya ufu huo, haiwezi kufanya kazi ya Uungu japo inaaminiwa na kuabudiwa na makundi makundi ya watu. Lakini wingi wa wafuasi wake, haujaipa nguvu yoyote ya uungu na ndiyo sababu watu bado wanahitaji nguvu ya Ki Mungu ambayo, kwa kuwa hawaipati kule wanakoabudu, wanakusanyika hata kwa kakakuona kwa matumaini makubwa kwamba atawatendea wanayoyatamani.

Wangelikuwa wana Mungu wa Kweli, wasingeanza kuweka matumaini yao na kuuliza kwa kakakuona mambo ambayo Mungu anaweza kusema nao bila shaka yoyote kama wangelikuwa naye.

kwa hiyo kuna mungu aliyekufa?
 
Watu bhana.....eti kawekewa bendera mbili!!!
Haya endeleeni kusubiri utabiri utimie!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…