Kaka zangu wametembea na mwanamke mmoja

Kaka zangu wametembea na mwanamke mmoja

Hivi karne hii unshindwa kuwaambia Kaka zako live acheni kuchangia papuchi ? Uoga dizaini hiyo zilipendwa.
 
kama unawaogopa kaka zako anza na huyo mwanamke mwambie unajua kila kitu kuhusu yeye na kaka zako na asipoacha hyo tabia utamshitaki kwa mumewe pamoja na kumtimua hapo kwenu
Hili nililiwaza pia
 
Waite wao kama wao uongee nao kama 1 yupo mbali deal na huyo wakaribu sawa.... Uctake kila mtu ajue kinachoendelea
 
Pole sana kwa mkasa wa ndugu zako.
Nani mkubwa kati yako wewe na hao kaka zako? Hili litasaidia tu kuchagua njia ya kuongea nao.

Huna namna zaidi ya kuongea nao juu ya hali hiyo hasa huyo anayeishi naye nyumba moja. Usipofanya hivyo kuna hatari zaidi ya hiyo inaweza kufuata. Fikiria huyo kaka yako mkewe hatupo kwa sasa,mganga naye hakai sana hapo. Tatizo ni huu uhuru walionao unaweza kufanya mapenzi yakakolea zaidi,badala ya kujiiba wakahisi wana haki ya kufanya hivyo.

Pia,kwa tabia aliyonayo huyo dada ni kwamba hakuna usalama hapo,kama siyo leo ni kesho.

Si vema kupoteza ndugu kwa tatizo unaloweza kulitatua. Wakikulaumu ni kwa muda tu,mapenzi yakiwaisha rohoni kinyongo kitaisha pia. Ila jiandae kwa lawama kwamba unawafuatilia(si kosa kwa ndugu unayemjali).

Ukikaa kimya pia,ipo siku mmoja atakulilia kwanini hukusema ilihali unajua.

POLE
 
Muda siyo mrefu hao kaka zako wataota papuchi iliyotuna!....Chezea mganga wewe!!
 
Maswali nayojiuliza je Kaka zangu wanajijua wameshashare mapenzi kwa mwanamke Mmoja ?
Umeshasema huyo dada ni kicheche wa hatari, bodabodas, wauza nyama, wauza nyanya and every tom&dick wameshakula mzigo. Why bother? kaka yako mdogo alijisevia akasepa zake. Huenda na hata kaka mkubwa anaponea tu kwa muda. Move on.
 
Hapo ishu ni UKIMWIII tu bhasii.. Ilaa kushare kawaidaa tuu..!!
 
Note
25cf1ed9a801bac951d177929443a36e.jpg
 
Mkuu fata yako ukifatilia maisha ya watu hapo unaangilia faragha zao na sio vizur utajishushia heshima.
Nakushauri tumia namba mpya ya simu the wape onyo usijitambulishe kama ww maana utazua mengine japokua ni nia njema.

Respect ur bro's don't face them directly na usichelewe wasanue mapema
 
Mm Niko tofauti na wewe. Hao ni ndugu zako watakuja kupata ukimwi. Wapigie simu uwamnie wakikuchukia watajiju kuna siku watakuelewa. Usisambaze hii taarifa kwa ndugu. Utaanzia wapi kumwogopa kaka yako kwenye jambo serious kiasi hicho.?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,

Kwakweli niko njia panda mimi kama dada au mama wa familia nimeshindwa kulitatua, nimeshindwa kumshirikisha mtu yoyote hata ubavu wangu wa pili nimeshindwa kumshirikisha naona aibu nitawavua nguo kaka zangu ila humu naona ni mahala sahihi naweza kupata mwanga kidogo.

Picha linaanza hivi, hapa mjini tunakibanda chetu cha urithi familia tukaamua akae mama pamoja na kaka mkubwa na familia yake uwani kuna vyumba vitatu yupo mpangaji kutokana na changamoto za ndoa kaka na mke wake kwa sasa wana mgogoro wa ndoa yao mke amerudi kwao kwa muda.

Huyu mpangaji yeye anaishi na mke wake lakini yeye ni mganga wa kienyeji shughuli zake anafanyia Arusha pale kabaki mke wake tu.

Kwa mara ya kwanza alivohamia huyu mke wa mganga alitongozwa na mtoto wa jirani akampa taarifa mume wake, kilichotokea mganga alimpigia simu bi mkubwa, yule bwana akatoa mkwara mzito sana, kwa yoyote atakaye toka na mke wake litakalomkuta asije akajuta baadae hili likapita.

Sasa huyu dada kwa kifupi alitoa tu taarifa kwa mumewe kujikosha kumbe kiwembe ukimpa safari tatu na elfu kumi unajisevia vya kutosha mtaani wauza magenge, wauza mabucha, bodaboda wanajisevia.

Sasa miezi kazaa nina kaka angu mwingine makazi yake ni nje ya Dar alikuja mapumziko kumuona mama kilichotokea huyu dada alitembea nae sikujua kama aliijua tabia yake ila ndio hivyo ila muda wa mapumziko ulipoisha aliondoka.

Sasa hivi nimepewa taarifa tena kaka mkubwa ameanza kutembea nae na mchezo wote unafanyika ndani ya nyumba wakati wa usiku kwenye chumba cha huyo dada. Huyu dada mpangaji ana urafiki na mtoto wa mama angu mdogo anaishi hapo nyumbani kwahiyo kila analofanya anamwambia huyu ndugu yangu ndipo habari nazipata

Maswali nayojiuliza je kaka zangu wanajijua wameshashare mapenzi kwa mwanamke mmoja?
Je, kama huyu dada ameathirika inakuwaje?
Je, mume wake akifahamu atafanya nini?
Nimwambie mama mzazi kinachoendelea? (Baba amefariki)
Inaniuma ufuska unafanyika ndani ya nyumba cha kufanya sina kaka zangu nawaona kama baba zangu na wao wananiona mama wa familia sijui pakuwaanzia kuwaeleza hili jambo.

Na uwezo wa kuwashawishi ndugu zangu tumpe notice je nikiulizwa chanzo nini? Kwenye kulipa kodi wako vizuri hawasumbui.

Naombeni ushauri nifanyeje jamani roho naniuma sana japo kuna watu watanishangaa kwanini niumie ila ndio hivyo binadamu tuko tofauti.
hilo mkuu hata lisikupasue kichwa sis wanaume kuliana Mizigo hiyo ndio kawaida yetu nawala haidhuru ..hapo ingekuwa nitatizo kama huyo angelikuwa nimke wa mmoja wahao kaka zako..
hapo aisee pangekuwa hapatoshi ...lakini mwanamke tu wakupita aisee wala usipagawe hizo mambo zipo kila mahali tena wengine huwa wanakutana mpaka na baba zao wazazi kama dingi akiwa bado nimtu wakupnda kusini ...issue hapo NI ngoma tu ..ila kushare kwa watoto wakiume hata usishangae ndio zetu
 
Back
Top Bottom