Niwemugizi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 902
- 462
Nahitaji msaada wenu wanajamii forum, naamini palipo na wengi hapaharibiki jambo na mwisho wa siku ntapata msaada wa kunikwamua mahali nilipo
Nina kaka yangu mwaka huu amefunga 42 years, actually ni mototo wa mama yangu mkubwa, ina shida moja kubwa ambayo nimeigundua hivi majuzi baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kupata majibu. Kaka yangu linapokuja suala la kuoa anasema kuwa hajapata mwanamke sahihi wa kumweka ndani awe mama watoto wake.
Wakati nikiwa chuo alinisumbua sana namlink na wadada ambao niliona wanaweza wakawa wife material ila relationship yao haikuwa inakaa zaidi ya miezi mitatu inavunjika, nikimuuliza mdada ananiambia muulize kaka yako nikimuuliza bro anasema watoto wa chuo wasumbufu.
Maisha yakaendelea basi tulivoanza kazi na penyewe akawa anasema km job kwangu kuna msichana ambae naona ni wife material nimuunganishe nae maana yeye kazi zimemtinga na pia kazini kwao amesearch hajaona, du kweli nikampata mlokole mmoja wa kwa mchungaji mama Lwakatare huko milima ya moto,
mimi nikajua sasa tayari tunaenda kutoa mahari but baada ya miezi miwili uhusiano ukavunjika nikamuuliza shida ni nini kila mmoja akaniambia muulize kaka yako na kaka ananiambia muulize huyo unaemuita wife material wako.
Anyway to cut the story short nilimmbana mmoja wa wadada aliokuwa nao wale wa chuoni akaniambia kuwa kaka hasimamishi akaniaapia kuwa walienda guest bro jogoo akashindwa kuwika sasa wandugu nashindwa nifanyeje kumsaidia brother yangu maana umri umekwenda ana 42 yrs ila familia ndiyo hana hata mtoto wa kusingiziwa.
Naombeni mnisaidie namna ya kumuingia ili nimuunganishe kwa madaktari maana nina mtu namfahamu alikuwa kama yeye alipopewa mitishamba alipona kabisa na yupo gado, nisaidie ideas namna ya kulianzisha kwa kaka ili apate kuponyeka nayeye afurahie uanaume wake