Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu


Tuombe Mungu hiyo tabia isije hamia kwa mkeo. That's fornication if not adultery!
 
Duh!!! Watakuwa wameaanza kumegana muda mrefu tokea huyo braza yako anaishi hapo kwako
 

Unajua ukishavunja mwiko hakuna utakaokushinda unaofanana na Huo.

Tahadhari: Huyo bro ni mchafu, na umri wake sio tatizo, hivyo kila abiria achunge mzigo wake
 
Mhhhh.....! Basi na ujue kuwa na mke wako anayo katabia kama hiyo, kama bado itakuja tu....!
 
kaka hiyo ni noma! ongeza ulinzi kwa wife
si unajua waswahili husema mtoto wa nyoka ni nyoka
 
ni jambo la aibu!
wote kuoa sehemu moja!
kwa vile umemzoea kaka yako,huyo ndio uongee naye..
mwambie jinsi lilivyo jambo la aibu na mkeo akijua jinsi atakavyoghafilika,...

au ongea na mkeo aongee na mama yake..,
wasiwaibishe kama ni ukame wakatafute wapenzi huko nje!
mijitu mingine sijui ikoje...haina aibu!
 
kweli wakati mwingine jaribu kutumia busara itawale. Kama tunda kamega huna jinsi jifanye hulioni hilo.
 

Kama ulikuwa huna mpango wa kumega huyo ma'mkwe nadhani ongeza heshima kwa kaka yako maana sasa ni Kaka-mkwe
 

Imradi wamakubaliana watu wazima waache wapeane raha kaka.

Lakini ulitakiwa ufumbe macho au uondoke kabisa
 
Nakuja kuomba kazi ya uhausi boi hapo kwako, ntaanza kwa kummega huyo mkweo, mkeo na hausi gelo wako kama unaye..
Hiyo nyumba yako inahitaji maombi, vuinginevyo pepo la uzinzi litaisambaratisha na kuivunja kabisa ndoa yako
 
....wapige stop mwaya!
...ni kama vile usikie mashoga(gay)..wanataka kufunga ndoa..
...wana haki ya kufanya wafanyayo,ila hili jambo liko wrong in every aspect of it!
 
Unajua ukishavunja mwiko hakuna utakaokushinda unaofanana na Huo.

Tahadhari: Huyo bro ni mchafu, na umri wake sio tatizo, hivyo kila abiria achunge mzigo wake

Unamaana mdogo mtu amfukuze kaka mtu?

Sioni kosa la kaka mtu hapo imradi hakumbaka kama walikubaliana na wakanyonyana ndimi n.k ruksa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…