Kaka yangu ameota nimeoa...

Oh...
 
Dada mke nimtafte kwa jasho?!
Nikitaka mke naanza tu kutongoza atakaekubali mchujo unaanza akifaulu na mi nikifaulu anavyo vitaka ndoa.
NB; ni hapo nitakapotaka!!
Unatafuta mke kwa njia rahisi sana. Teh teh
 
Wakati mwingine ndoto ni onyo kukulinda dhidi ya jambo linaloweza kukuathiri. Unachotakiwa kufanya kama ni Mkristo ni kuitakasa ndoto hiyo kwa Jina la yesu na kumuona sana Mungu akuepushe na baya hilo. Endapo Mungu ndio ametaka iwe hivyo basi hakuna namna itakuwa hivyo hivyo alivyooteshwa ndugu yako. Hivyo itakupasa ukabiliane nayo
 
Kama sio mkiristo ndio nishafeli?!
 
Kama sio mkiristo ndio nishafeli?!
Hapana ila yakupasa kumshirikisha Mungu katika hili. Nimetolea mfano wa Wakristo because one of the ways kushindana na maovu ni kwa kutumia damu ya Yesu. Wewe kama ni Muislamu bado unaweza kumuomba Mungu kwa kutumia Ayatul Hirsi hasa hasa Surah Al Falaq, Surah Ikhlas na Ayatul Kursi.

Sasa kama sio Muislamu pia hapo tena sina cha kukusaidia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahah...kwa kweli!!
 
Akiota unaliwa ndo Utajua Dunia uwanja wa mateso!!!!
 
Mi nakuwa naota nyumba flan hivi naenda kuitembelea halaf haina watu hii ndoto inajirudia kweli mara ya 3 hii na sijui ni wapi
Cc Mshanajr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…