Kaka yangu ameota nimeoa...

Oa mkubwa huo ni ujumbe amekufikishia kijanja
 
Unatakiwa uoe,umechelewa sana;pia kaka yako anakipaji ingawa ameshindwa kukitumia vizuri ili awe tajiri-aanzishe sehemu yake ya kuabudu na ajiite nabii...
 
Broo wako mtumie vizuri,

Hao wanaotabiri alafu inakuwa kweli basi huyo broo yuko karibu na Nguvu ambazo hatuzijui,
Kabisa mkuu. Kwa namna hiyo huyo ni mtu makini sana. Watu wa hivyo hata yeye mwenyewe huwa hawafanyi makosa ya kijinga,ksbb anajijua. Huyo hata kujenga ningejenga karibu nae. Kila siku lazima nionane nae. Namweka sawa chochote anachoota kuhusu mimi awe ananishirikisha hata kama ni kibaya ili nijue nijipange vipi
 
Sasa huwezi kumwambia niote...hiyo inamtokea tubhata yeye hana control nayo.
Kumtumia vizuri hamaanishi umwambie akuote No,ila uwe karibu nae tu kwa simu kila siku. Kuna kumwambia kila atakaloota kuhusu wewe akuahirikishe hata kama ni baya,ili ujue ujipange vipi. Halafu kumtumia vizuri kwa kuyatumia kwa usahihi yale aliyokuotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…