Kaka yangu amechomwa Moto kwa kudhaniwa ni mwizi

Tafuta chura mmoj hivi ana sumu inayopenya kwenye nerves halafu andaa visindano vidogo dogo au pete fulani yenye pini chom yule chura halafu dili nao mmoja mmoja jua, ratiba zao hasa sehem za starehe. Choma mmoja baada ya mwingine.
Au tafuta insulin halafu anza nao harakati mmoja baada ya mwingine.


Sio mimi mkuu ila nasubiri tender na picha zao tu
 
Inasikitisha sana Kaka yangu ni mlemavu wa akili (ana downs syndrome) hata kumuangalia kwa macho unajua kabisa huyu mtu kichwani hakuna kitu.

Majuzi alitoroka nyumbani tulimtafuta bila mafanikio ghafla tukapewa taarifa kuwa ameitiwa mwizi amechomwa moto, amekamatwa mzima mzima wala hawajampiga wamemfunga mikono wamemvisha tairi wamemchoma moto 😭😭😭😭😭 .

Waliofanya tukio ilo wanajulikana ni sungusungu na wananchi wengine, baadhi wamekamatwa wamepelekwa police lakini jioni wameachiwa huru wanadunda.

🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mtafute kamanda Siro au Kibatala watakusaidia kupata haki
 
Back
Top Bottom