Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Kaka yake Humphrey Polepole athibitisha kutekwa kwa ndugu yake (Polepole) na mtu anayefahamika kama Mafwele

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Augustino Polepole, ambaye ni kaka yake Humphrey Polepole, amethibitisha kuwa ndugu yake ametekwa na kumtaja afisa wa polisi aitwaye Mafwele, ZCO wa Jeshi la Polisi Tanzania, kuwa anahusishwa na tukio hilo usiku wa kuamkia leo Oktoba 6, 2025.

‎Aidha, Agustino ameeleza kuwa mdogo wake ana kifaa maalumu (chipu) mwilini kinachomwezesha kufuatiliwa, hivyo wanaendelea kupata taarifa za mahali alipopelekwa na watekaji.

Soma: Humphrey Polepole ametekwa leo asubuhi Oktoba 6

Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
 
Mlimuua Magufuli.

Sasa mnamuua Polepole.

Baadae mnakuja kulalamika watu wanachafua amani
Amani kwa Samia ni Watanganyika kukubali kutekwa,kuteswa na kuuawawa na Watanganyika wote kukaa kimya na kuipongeza serikali kama machawa.

Samia na genge lake la wahuni sasa hivi ameamua kubaki madaraka kupitia wahuni na kwa njia za kihuni waziwazi. Hajifichi tena.
 
Kama ni kweli nimesikitishwa ila Polepole nae anawachafua watu alio nao sehemu moja alikuwa hafikirii? Halafu pia Polepole alishakuwa chambo kwa hawa wanaharakati. Kumteka Polepole na kuisingizia serikali lazima iwape kiki wanaharakati uchwara. Mange na Maria wanaweza kuwa ndo wamemteka ili kufanikisha agenda zao.
🚮🚮🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom