Yan leo mnaniongelea vizungu tu
wiii jamani
Hahahaa ndo ufafanue
Mzima my dada?
Ntuzu unamuona dada yako huyu alivyo na kiburi ziku hizi?
unapenda kudeka aiseee hebu mwache kakaangu ali relax
Heee eti nimwache nisipomdekea yeye nimdekee nani sasa?? Na yeye ndo kanizoesha akiona sideki ananikumbusha....ni mimi pekee ndo nna haki ya kudeka kwake....
hahahaha mahaba nipoteze deka mwaya wewe ndo mmiliki halali
Kalumbu Heaven Sent, ulinkafu ugwe? Bhandile kutwala imbosyo abhajhanga abha, jwani alina-mapozi agho? pamo bha Baba V, Bujibuji na Masopakyindi.