“Kaka nakuomba basi unioe “

"Basi tu Mungu ametuumbia Nyege na hii ndiyo inanifanya hata niweze kuwazoea hawa Watu na hata kuassociate nao na ingekua vinginevyo Kwa namna ninavyowadharau Wanawake ,Dharau hii ingekua (infinite times)"
Astakafirullah for your statement
Unakosea Sana kuwa na conclusion ya kwamba wanawake wote Ni sawa either kwa sababu ya wachache uliokutana nao wakawa na notion zinazofanana au kwa baadhi ambao umeshuhudia matendo Yao kwa jiran ama ndugu zako ,,,,, by the way watu wanatofautiana mpendwa usiwe na ujumuishi ambao hauna mantiki
 
Hata mi akili ilipofunguka nikajua kua hakuna mwanamke wa sasa atakupenda bila kitu hilo sahau. Hiyo iliishia ishia miaka ya 90 na 2000 mwanzoni.

Ila hii 2022 hiyo kitu futeni akilini eti mnaona kisa mmependana, hapo ni huyo manzi anatafuta unafuu wa maisha na heshma kwa rafiki zake ila wewe mwanaume unaambulia (-) coz huna unachopata zaid ya hasara na kifo cha mapema kwa stress.
 
Wahenga wanasema its begins with you. Unavyosema unawachukulia wadada kama chombo cha starehe lkin una ndugu wa kike na wanaume wenzio wanamchukulia hivyohivyo. Tusambaze upendo.
 
Hii ni baada ya kuwa binti amenijua kwa siku kama tano hivi...
Akawa amejua mimi nimesomea mambo haya ya afya, akanikuta ofisini kwa Mzee..
Muda huo nilikua najiandaa kwenda zangu internship.

Akawa amenitunuku tunda baada ya yeye mwenyewe kuaarrange hadi siku na muda na mahali...

Nilikua mgeni maeneo yale so nikamwambia Lodge hapa mimi sizijui.

Akawa amenielekeza “ nenda pale karibu na sheri kuna Lodge huwa naiona ni mpya ukalipie “

Binti tuliweza kukutana kama two times.

Ndipo akaamua afunguke ya moyoni mwake “ kaka nakuomba Basi unioe” huku akiwa ananionea aibu.

Sijui Binti alikua ananionaje yule hahahaaa
Mimi ninavyojua sioi kabisa!
And will live to this Ideal ...

Huwa ninawakonfyuse sana wadada wakiniona wanadhania mimi ni mtu mgeni sana kwenye haya mambo...kwamba to be taken advantage of... Kumbe ...

Wanaitafsiri vibaya sura yangu ya upole na unyenyekevu wakiwa wanadhania wamepata kumbe mamamamaa wamepatikana...

Nawajua ubinafsi wao Kutaka kujinufaisha kimaisha kupitia Faking Love to a man by Choosing and CAREFULLY PICKING the Best Suitor and then atakuambia baadae hiyoo kwamba anakupenda amekufa into you hahahaaa

Kabisa Sinaga huruma na mwanamke na kwangu mwanamke ana function moja tuu—— Chombo cha starehee ZANGU ( msisitizo)...

Basi tu Mungu ametuumbia Nyege na hii ndiyo inanifanya hata niweze kuwazoea hawa Watu na hata kuassociate nao na ingekua vinginevyo Kwa namna ninavyowadharau Wanawake ,Dharau hii ingekua (infinite times)

Mpaka nione mwanaume hohehahe akiwa na Mwanamke ambaye wakipita watu wanageuka ndipo ntaamini Mwanamke anaweza kupenda bila kuangalia Mwanamme ana milki gani !!

Najua haiwezekani kwa hiyo “this belief is the ideal “
Bro usidharau wanawake kumbuka ndo umezaliwa nao
 
Mbona kuna watu wana abstain.

You can do it kama umewadharau wanawake kiasi hicho.

Unafikiri Mungu aliposema usizini alijua kwamba hakuna atakayeweza kuishi bila kuzini...wapo ndugu.

Halafu kwani nyie mbona nanyi mnachoise zenu kwa wanawake?

Unachagua mwenye chura, sura nzuri...nk...sasa kwanini mwnamke akiangalia chapaa inakuwa nongwa.
Kwan hela nikiungo cha mwili ka chura au guu eet sisy???
 
Pamoja namapungufu yao lakini hawa viumbe ni mhimu sana unaesema eti huowi jipe muda tu utawaelewa ss tunaendelea nao pamoja nausumbufu wao
 
Kitu cha Bob kimekuathiri
Hii ni baada ya kuwa binti amenijua kwa siku kama tano hivi...
Akawa amejua mimi nimesomea mambo haya ya afya, akanikuta ofisini kwa Mzee..
Muda huo nilikua najiandaa kwenda zangu internship.

Akawa amenitunuku tunda baada ya yeye mwenyewe kuaarrange hadi siku na muda na mahali...

Nilikua mgeni maeneo yale so nikamwambia Lodge hapa mimi sizijui.

Akawa amenielekeza “ nenda pale karibu na sheri kuna Lodge huwa naiona ni mpya ukalipie “

Binti tuliweza kukutana kama two times.

Ndipo akaamua afunguke ya moyoni mwake “ kaka nakuomba Basi unioe” huku akiwa ananionea aibu.

Sijui Binti alikua ananionaje yule hahahaaa
Mimi ninavyojua sioi kabisa!
And will live to this Ideal ...

Huwa ninawakonfyuse sana wadada wakiniona wanadhania mimi ni mtu mgeni sana kwenye haya mambo...kwamba to be taken advantage of... Kumbe ...

Wanaitafsiri vibaya sura yangu ya upole na unyenyekevu wakiwa wanadhania wamepata kumbe mamamamaa wamepatikana...

Nawajua ubinafsi wao Kutaka kujinufaisha kimaisha kupitia Faking Love to a man by Choosing and CAREFULLY PICKING the Best Suitor and then atakuambia baadae hiyoo kwamba anakupenda amekufa into you hahahaaa

Kabisa Sinaga huruma na mwanamke na kwangu mwanamke ana function moja tuu—— Chombo cha starehee ZANGU ( msisitizo)...

Basi tu Mungu ametuumbia Nyege na hii ndiyo inanifanya hata niweze kuwazoea hawa Watu na hata kuassociate nao na ingekua vinginevyo Kwa namna ninavyowadharau Wanawake ,Dharau hii ingekua (infinite times)

Mpaka nione mwanaume hohehahe akiwa na Mwanamke ambaye wakipita watu wanageuka ndipo ntaamini Mwanamke anaweza kupenda bila kuangalia Mwanamme ana milki gani !!

Najua haiwezekani kwa hiyo “this belief is the ideal “
 
"Basi tu Mungu ametuumbia Nyege na hii ndiyo inanifanya hata niweze kuwazoea hawa Watu na hata kuassociate nao na ingekua vinginevyo Kwa namna ninavyowadharau Wanawake ,Dharau hii ingekua (infinite times)"
Astakafirullah for your statement
Unakosea Sana kuwa na conclusion ya kwamba wanawake wote Ni sawa either kwa sababu ya wachache uliokutana nao wakawa na notion zinazofanana au kwa baadhi ambao umeshuhudia matendo Yao kwa jiran ama ndugu zako ,,,,, by the way watu wanatofautiana mpendwa usiwe na ujumuishi ambao hauna mantiki
mtoa nada yupo sahihi, nawe upo sahihi ila mtoa mada hataki kubeti kabisa. Yani uwo mchungo kaachana nao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom