Kaka na dada

Hiyo id yako sasa !!... Naona imefanana kabisa na ulicho kiwasilisha hapa
 
Mtumie text nzuuur romantic mida yetu ile kama una # yake Ms Put In uone respons yake kwan watu wengine wanahitaji wawe ignited kidogo
 
Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Muulize anataka kukunyima nn?
 
Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Dada Washindadheee
 
Dada, kio chedi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…