Namkunda OG
JF-Expert Member
- Nov 17, 2015
- 827
- 1,049
inabidi tu nimwambie yan sijui asomi ramanisi umwambie tu mi so dadaako
Usijali Dada nimekusikia sitakuita tena Dada.
Sawa DadaNiite hata jirani
Leo ndo nimeelewa kwa nini shetani alichagua kumdanganya Eva na sio adamu pale bustanini edeni ...dah wanawake bana
Hahaha unataka akuiteje labda?Habari wakuu ..hii tabia ya wapare kuitana kaka na dada kiukweli inaniboa kuna kaka hapa jirani ni mpare Mimi namuelewa kwa kweli lakini sasa akipita tu et dada washindanze yan toka amejua na Mimi ni mpare ndo kanifanya dada yake kabisa
Mbona ni jambo la heli kuitwa kaka au Dada ..hilo lisikupe shida kabisaKwanini mkuu
Hahaha unataka akuiteje labda?