Kaka na Dada wapeana mimba

Alaaniwe yule alalae na "umbu lake yaani binti wa mama yake" Maandiko haya yapo ndani ya Biblia sipakumbuki. Hivyo ni makatazo tosha wala hatuhitaji kupindisha Katiba Hii ya Mwenyezi Mungu.

Wasilaaniwe kwani si binti wa mamake ni binti wa mamake mdogo kaka soma thread uielewe
 
Waulizen wakat wanafanya mech mbona hawajaomba ushauri jns ya kuzuia mimba au kuacha kabsa hzo ngono ndg! Aache shule!
 
Mkuu hii kitu kwenye biblia ipo ila sikumbuki ni wapi nishawai kutafuna ndugu siku hiyo nimejikalia sina hili wala lile nikasema ngoja nipitie biblia kidogo nikakuta inanionya kwa kwenda mbele siku hiyo ndio ilikuwa mwanzo na mwisho wa kutafuna ndugu
Ngoja nitafute maandiko kwenye baibo ndo naweza kulaani kubariki.

Tunaongozwa na biblia sio hisia za watu flani au jamii.
 
Ngoja nitafute maandiko kwenye baibo ndo naweza kulaani kubariki.

Tunaongozwa na biblia sio hisia za watu flani au jamii.

Ni MAMBO YA WALAWI SURA YA ISHIRINI MKUU. Soma taratibu utakuta mistari humo ,,kuhusu mke wa baba yako, dada wa mama yako, mke wa kaka yako mtoto wa shangazio.
 
Katika hali isiyo ya kawaida,kaka na dada ambao mama zao ni mkubwa na mdogo wamepeana mimba,stori yenyewe ilikuwa hivi,huyu msichana aliyepewa mimba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na kaka yake yaani mtoto wa mama yake mkubwa ambaye ni tumbo moja na mama yake mzazi,kipindi wapo hkatika mahusiano ndugu walikaa kikao cha kuwakanya na cha ajabu mama mzazi wa msichana mwenye mimba amekataa kabisa ya kuwa mwanaye hawezi kutembea na kaka yake kwani bado mdogo na tena ni mwanafunzi wa. kidato cha kwanza,ndugu wakahairisha kikao bila maamuzi,ikapita kama muda hv ndugu wakaona mabadiliko ya
yule msichana ndipo jana wakenda kumpima na kukutwa ya kuwa ana mimba ya miezi saba na akamtaja ya kuwa mwenye mimba ni kaka yake ambaye ni mtoto wa mama yake mkubwa,Naombeni ushauri wa kumpatia huyu dada kwani hajawahi kwenda kliniki hata siku moja na pia mwaka huu ndo anaingia kidato cha pili...Hii ni kweli kwani mimi ni mmoja wapo wa ndugu
. Duh! Hii kazi naoto sana aisee
 
hata ukiacha imani za kidini,utamaduni wa kiafrika hilo haliwezekani! Na ni ajabu! Ila wenye asili ya Kihindi na Kiarabu, hutumia dini kuhalalisha! Mi nimemkosa dada mmoja [kama 10 yrs sasa]ambaye ni wife material kabisa! Nilitembea naye mara nyingi akang'ang'ania nimuoe.Nikamwambia nyie ni kama ndugu zangu! We have family ties,though si blood related.. Wazazi wanafahamiana,na watoto wa huku waliweza kulala kule and v,versa. Hakukubali. Nikaoa mwingine.Ye sasa yuko states.Hajaolewa bado.
 
Sawa 2 KUOANA mbona hata WATOTO WA ADAM na HAWA walioana wenyewe kwa wenyewe.
 
Kikristo ni wapi walipokatazwa?

Naona sasa pepo la ngono linataka kunyanyua kichwa humu jamvini.

Shindwa pepo shindwa na hata ulegee!
Acha watu wa MUNGU wamtukuze Mungu na siyo wewe pepo mbaya!

Maana naona hata wengine wanadiriki kusema haina madhara mtu na mdogo wake wanapofikia hatua tajwa hapo juu!

MUNGU KWA KUWA UPO NA UTAKUWEPO,NAOMBA MUNGU WANGU WAPE WATU UFAHAMU WA KUKUJUA NA KUKUFIKIRI WEWE MUNGU MWENYE KUJUA MWISHO KABLA YA MWANZO!

Kwa kuwa Mungu najua unaweza sina mengi ila nitakutaja siku zote ya maisha yangu! Amen!

Kwenye kitabu cha Mwanzo mlango ule wa 24 na kuendelea hakika neno linasema ya kwmb "Na alaaniwe yeyote yule alalaye na Nduguye" Na watu waseme Amen!

Kwa kweli hili na huyu Kaka na Dada ni pigo sana kwa wana familia.
Lakini wakirudi katika hali ya Toba hakika MUNGU atawasamehe na awabariki na kuwapa Amani tele! Na tofauti na hapo hilo ni pigo kwao!

FF! Ntarudi baadae nikuambie neno!
 
Back
Top Bottom