MichazPipoz
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 533
- 150
Wanawake wengi wanaochanganya bro na dogo wananenepa thighs, nawe kula vyote unenepe!
nimekutana nae fb sikujua kama ni kaka wa boyfie, kutokana na fake names hizi, basi tukachat chati wee mpaka kanizoea, kama wasemavyo wakikaa watu wawili peke yao shetani anakua wa tatu wao, basi kaka watu akajikuta kafall, sio utani mwanzo alikua haingii fb kivile bt nw 24/7 hadi nafanya kumfukuza akalale,, after sometime nkajua kama ni ndugu na mtu wangu, bt sikumwambia tukaendelea na urafiki wetu, kaka wa watu yupo mkoani anataka kuja tuonane, nashindwa nianzie wapi kumwambia kua am invoved wt his lil bro, naogopa ataniona muongo and hell stop trusting me,, niko njia panda,, I dnt want to lose hz friendshp
my last bebe wangu, emb nitme na me maomb kwako ili tuweweng zaid maana napenda kupangwa
nimekutana nae fb sikujua kama ni kaka wa boyfie, kutokana na fake names hizi, basi tukachat chati wee mpaka kanizoea, kama wasemavyo wakikaa watu wawili peke yao shetani anakua wa tatu wao, basi kaka watu akajikuta kafall, sio utani mwanzo alikua haingii fb kivile bt nw 24/7 hadi nafanya kumfukuza akalale,, after sometime nkajua kama ni ndugu na mtu wangu, bt sikumwambia tukaendelea na urafiki wetu, kaka wa watu yupo mkoani anataka kuja tuonane, nashindwa nianzie wapi kumwambia kua am invoved wt his lil bro, naogopa ataniona muongo and hell stop trusting me,, niko njia panda,, I dnt want to lose hz friendshp
Mmmh!!
Hata mimi nashangaa...teh teh

Kiswahili usikijue wakati wewe ni mswahili kabisa,sema hii lugha ngeni ndio inakutatiza hebu rudia kusoma post zako utaona makosa mengi ya grammar.Kama vp ni PM ni ku boost kwenye hii lugha:help:
Hivo unataka kudhani wote hapa tuna akili kama zako?
Kama hujaitunga hii story,huyo jamaa amekutongoza ukakubali na ulimwambia huna mtu
Ndo maana unasema atakuona mwongo
Kwanini unajali sana kuhusu urafiki?
Sisi ni waafrika ukimdanganya rafiki yako siyo ishu
Eti sitaki kuupdteza urafiki wangu na!!!!!!!!!!!!
Wewe sema tu ukweli umeshamegwa huko
Au umetunga hii!!!!!!!!!!!!!!!!
kama bado uko under 30.. we mpe mzigo kaka mtu, vilevile mpe na mdogo mtu...we bado maji moto kula raha bwana but ucheze kama trafick usije ukagonganisha magari coz ajali yake haponi mtu hapo. kama hao ndgu hawajachinjana na damu yao ikawa juu yako basi jua watakuchinja wewe. usihofu kuwagawia wote HUJAWAHI KUONA MUVIE INA MASTERLING WAWILI WEWE. KACHECK EXPENDABLES MASTERLING KIBAO SO IKO HV ( KAKA+MDOGO+ HAO WENGINE )=MASTERLING VS (ADUI=WEWE) UTAPIGIKAJE HAPO