Kaka, Messi na Ronaldo nani zaidi Timu ya Taifa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaka, Messi na Ronaldo nani zaidi Timu ya Taifa?

Discussion in 'Sports' started by Companero, Sep 6, 2009.

 1. Companero

  Companero Platinum Member

  #1
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Wote wamewahi kuongoza timu kutwaa kombe la mabingwa wa vilabu Ulaya (UCL). Kwenye ngazi hiyo wote wamewahi kuwa wachezaji bora sana kwa miaka tofauti. Hivyo hapo tunaweza kusema wote wako sawa.

  Ila tunapokuja kwenye ngazi ya timu ya taifa hali inakuwa tofauti. Kaka ameiongoza Brazil kufuzu kucheza kombe la dunia leo/jana. Messi kajitahidi ila Argentina iko hoi katika michuano hiyo. Ronaldo timu yake iko mahututi!

  Sasa swali la kujiuliza ni kuwa nani ni mkali katika nyanja/ngazi hiyo ya kucheza mpira katika timu ya taifa? Je ni Kaka ambaye tayari ana vikombe kadhaa na timu ya taifa?Au Messi machenga? Pengine ni Ronaldo mabio?
   
  Last edited: Sep 6, 2009
 2. J

  Jews4ever Member

  #2
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ??????????????????????????????????????
   
 3. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #3
  Sep 6, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  kaka zaidi alafu ronaldo ,messi zero tu timu ya taifa na wakifanya mchezo hawaendi south africa mwakani.
   
 4. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #4
  Sep 6, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Footballers kwa kawaida wanafikia peak performance wakiwa na umri wa miaka 25. Tusibiri tuone Messi (22) na Ronaldo (24) watafanya nini baada ya kufikia/vuka umri huo. Si sawa kuwalinganisha na Kaka (27)
   
 5. Companero

  Companero Platinum Member

  #5
  Sep 6, 2009
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
 6. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #6
  Sep 6, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  sasa unauliza swali huku una majibu tayari?...hahahahaha
  kwangu mimi binafsi, Messi ndo mchezaji mzuri. Ningemchagua yeye katika timu yangu. Wa pili Kaka na mwisho Ronaldo. Kaka kazungukwa na timu nzuri sana, ndo maana mpira wake unang'aa. Messi kwenye timu ya taifa hajaweka imprint yake. Ronaldo na yeye bado. Hajafikia kina Figo katika timu ya taifa.
   
 7. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #7
  Sep 6, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Walinganishe kwenye ligi tuu na sasa wote wanacheza ligi moja, kwenye timu zao za taifa hawajafanya maajabu sana.
   
 8. Belo

  Belo JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2009
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 11,281
  Likes Received: 4,286
  Trophy Points: 280
  KAKA ndio the best kwani amebeba World Cup,Confederation Cup
   
 9. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Aisee! Messi anasimama juu.
   
 10. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,830
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwa kigezo cha michezo waliochezea timu zao za taifa mwishoni mwa wiki iliyopita KAKA ni juu juu juu zaidi
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Sep 7, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,056
  Likes Received: 24,060
  Trophy Points: 280

  Mkuu sikuwezi. Na Eusebio?
   
Loading...