Nitakapo kukamatia lazima nikumege.
Yanafanya trip za wapi haya, kweli tupo na mabilionea waliobakia humu mjini.
Hivi wa kwako ni yupi vile.
I have room for you unajua?
Aisee nimekupenda bure.
Naomba tuunde team ya kuiba ze husbands of azas.:biggrin:
mbona unantaja sana wantaka nn
Hivi wa kwako ni yupi vile.
I have room for you unajua?
ndo hivoo mtoto halali na helaa na we unataka
What? Wait a minute, what did you just said?
Hahahahaah. Lol. Ukimuita Kaizer nakuja na OLESAIDIMU anisaidie.
weeee......... Anishtaki aone kama hajahama mtaa
mbona wanitosa...?
Nimekuja Lady doctor