Kajitundika kwenye FACEBOOK...

Biashara matangazo mkuu.
 
Tutakwisha wooote, yatabaki mawe ambayo hayawaoni ,
 
Sasa si ni mamuuzi yake jaman...cha ajabu kipi hapo??!?
 
Reactions: Taz
Katoto kazuri sana kasije kuwa tu kafreemasons.
 
mashalaah..au nimekosea kutangaza ndoa mapema nini?? nitaghairi??
 
Itakua kakupiga chini nini mkuu! ndo umeamua kumtundika huku JF! Ila haina shida, wenzako tutakusaidia coz analipa!
 
halafu inaonesha hapo ni hostel ya chuo...(hizo clossets)....... aaaaah dadazetuuuuu
 
Face book ina totoz nyie wacheni tu, kuna mmoja jana nampiga line akasema; nionyeshe vipi utani take care...hataki sijui maneno ya love wala nini anataka nimuonyeshe kwa action kazi kweli kweli, lakini ni kitu kimetulia si cha kawaida 😛oa
 
Du! mkuu wewe noma umemleta jf huyu dada,mh! kule fb ni rafiki yangu aliniomba urafiki yeye.
anapicha za ajabu ajabu sana kule.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…