Kajibebesha Mimba alafu anataka nimuoe

Kama binti anakukubali we muoe mzebaba.

Kabinti ka miaka 19 ni raha sana, kanaendesheka vizuri mno. Unweza kukaendesha vile utakavyo na kakakuona wewe ndo wewe hakuna mwingine zaidi yako coz hakajakutana na wajuba wadanganyifu.

Ila ukioa manzi wa 23 yrs na kuendelea huko mara nyingi hesabu mamumivu huwa hawacontroliki kirahisi hawa labda ubahatike tu.

Sasa wew umepata bahati basi oa.

Japo kuoa sio jambo zuri ila kwa hiyo scenario muoe tu, umeyataka mwenyewe.
 
Mkuu hakika wewe ni kidume wa mbegu juzi juzi ulitupatia story ya lijimama ulilolimwagia mbegu na hadi sasa linadai kuwa na mimba yako.Bado hakujapambazuka tayari ka binti nako umesha kafyatua salute sana mkuu.
 
Ni binti tu wa makamo ana miaka 19 tu nilianzisha nae mahusiano.

Binafsi nashindwa kumuelewa mi nilianzisha hayo mahusiano kwa sababu ya kudinyana tu aswa ukizingatia kwenye kubadilisha Radha baada ya kuwachoka mademu wenye miaka 28 and Above

Binti bado kigori, chuchu saa sita na ata ile siku yake ya kwanza kukutana nae zile sehemu zake za uzazi zilikuwa bado ziko vyema kabisa hazijaguswa sana japo sikumkuta bikra.

Nilimweleza wazi kwamba kwa sasa mimi siwezi kumchukua na kuishi nae kwa sababu sijapanga nioe hivi karibu ila tu ninachoitaji kwake ni mapenzi, tufanye kila mtu Afurahi it's simple, hivyo Ajikinge kuhusu kupata Mimba.

Baada ya minyanduano kadhaa ikapita kama mwezi hivi akaanza kuniletea story ya kwamba anahisi ana Mimba, Nilijua utani wiki iliyopita nikamwita kapima mbele yangu kitu imooo nimeshuhudia kwa macho yangu.

Tatizo likaanzia hapo mtoto anaishi kwao, Mimba ndio hiyo imeanza kumsumbua kutapika, uchovu na Nk. Kwao wameshajua na wanataka niende nikaongee na mzee wake ili nikabidhiwe.

Kila nikijaribu kumpanga huyo mwanamke awaambie wazee wake kwamba mimi kwa sasa niko mbali nikirudi nitaenda, ila kuhusu Mimba Nitalea tu fresh na ata mtoto akizaliwa

Lakini sasa Binti naona hanielewi ndio kabisa Ananikomalia. Na anadiriki kuniambia wazi wazi ya kwamba yeye hajari chochote kitakachotokea anachohitaji zaidi kwa sasa ni kuja kuishi na mimi tu.

Sijui hata nimfanyaje huyu binti.
Yeye alipaswa kujilinda na ww ulipaswa kumlinda....... utajua ujui

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom