Kajibebesha Mimba alafu anataka nimuoe

Kajibebesha Mimba alafu anataka nimuoe

Mi nilimwaga maji maji yangu tu ila yeye ndio akayabeba
Zero IQ katika ubora wako wa ujinga ujinga ha ha ha. Zamani nilikuwa nakuchukia na pumba zako ila sasa hivi nikiona topic yako sikosi kuisoma ujinga ujinga wako ni burudani sana
 
hongera fany uoe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utupe na kadi tutachangia
 
Zero IQ katika ubora wako wa ujinga ujinga ha ha ha. Zamani nilikuwa nakuchukia na pumba zako ila sasa hivi nikiona topic yako sikosi kuisoma ujinga ujinga wako ni burudani sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sio burudani mwenzako nipo kwenye matatizo
 
Ngoja wanao wa kike wakue ttawafanya hivyo hivyo.
itakuwa ni wao na miili yao ila sio mimi, mi nafanya kwa wakati wangu na wao watafanyiwa kwa wakati wao pia
 
Back
Top Bottom