Kajibebesha Mimba alafu anataka nimuoe

Aisee Ni hatari.!
Fanyieni hivyo kwa watoto wa watu waungwan, ukifanya hivyo kwa mwanangu aisee Cha moto utakiona.
Hakuna cha Moto wala cha baridi atakachokiona mtu, analiwa mpaka mtoto wa Mganga na hakuna shida
 
Miaka 19 bada akili yake ilikuwa haijapevuka vya kutosha, lakini kwa sababu uliwachoka wale wa size yako ukaamua kufuata vitoto , basi inabidi uwajibike, huwezi sema nyama nguruwe haramu wakati mchuuzi unakunywa . Pole sana kijana , jiandae kuitwa kwenye dawati la jinsia
 
Hamna namna, mpeleke clinic, hayo ndo mavuno ya ilichopanda
Mi sijapanda chochote ni kama mpanzi tu uliomwaga mbegu zake kwenye Udogo bila kujua kwamba utamea na kwenda zake
 
Miaka 19 bada akili yake ilikuwa haijapevuka vya kutosha, lakini kwa sababu uliwachoka wale wa size yako ukaamua kufuata vitoto , basi inabidi uwajibike, huwezi sema nyama nguruwe haramu wakati mchuuzi unakunywa . Pole sana kijana , jiandae kuitwa kwenye dawati la jinsia
Kupevuka kwa Akili kunaanzia miaka mingapi mkuu?
 
Back
Top Bottom