Kaizer chiefs vs Al Ahly

proskaeur

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
1,481
2,000
Sikuuona kabisa mi nasoma comments tu humu
Basi usiamini kwenye Comments ndugu yangu,

Tawfik alichezewa rafu mbaya sana na bwana mdogo Happyboy Mashiane,

Refarii alianza kwa kumuonesha kadi ya njano lakini wanaosimamia VAR wakamwambia arejee tukio maana ile rafu ilistahili Red card, alipoenda ku review alikuja na kumuonesha Red card moja kwa moja

Na hakuna yeyote aliyelalamika maana ilikua ni halali kabisa
 

ChamasonMorisonBwalyason

JF-Expert Member
Dec 28, 2020
1,374
2,000
Wangeingia fainali ya wapi bhana! Kikosi kipana mwisho wake ni robo fainali.

IMG_3475.jpg
 
  • Haha
Reactions: mmh

Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,526
2,000
Wamenidisapoint kweli Hawa wasauzi. Hata hivyo mpira ulikuwa wa hovyo Sana utafikiri ndondo cup? No mvuto wacha tusubiri Kigoma
Kivipi mpira haukua na mvuto! Angefungwa al ahaly usungekuja na haya maneno, ungeanza kuwasifu kaiza chipsi


Al ahaly kama kawaida yao wanajua mpira

Angalia hapa tofauti ya Ahaly na chipsi wako

Screenshot_20210718-095234_FotMob.jpg
 

Otterhound

JF-Expert Member
Sep 10, 2016
2,526
2,000
Waarabu wamebebwa red card siyo sahihi kabisa

Hakuna cha kubebwa wewe, chipsi wako ata angechezesha wachezaji 20 wangefungwa tu. Red card ya halali iyo

Wewe itakua hujaangalia mpira, ahaly kaupiga mwingi sana, alafu acha kuifananisha ahaly na vitu vya kijinga mkuu.

Screenshot_20210718-095234_FotMob.jpg

Angepewa red card wa ahaly ungesema chochote?

Angalia ahaly alichokifanya apo, utamlinganisha na hao chipsi!

Harafu utashabukiaje timu la wale jamaa wanauwa waafrika wenzao! Nyambafu wale
 

Euphrates

JF-Expert Member
Jun 20, 2020
556
500
Imefanyaje imeingia fainali au uyanga unakusumbua

Nani kakuambia mimi ni timu utopolo!

Jibu swali, je! Una uhakika gani simba angepita mbele ya Wydad?

Al ahly sio wa sport ujue, ana 10 cups of champions league akifuatia Zamalek n then Tp mazembe, kwenye mzunguko al ahly utamuona anasuasua, angie sasa kwenye mtoano ndio utamjua vizuri.. huyo simba wako kama angelikua na ubavu angefika semi final basi,


Tatizo lenu uyanga na usimba unawatoa ufahamu, pia bado mna mambo ya kizamani ya kujiaminisha "Tungepita tungemuuwa al ahly" je, hapo kati wydad utampitaje!


🇦🇷🇦🇷🇦🇷🇹🇿
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom