Kairuki: Wanaotakiwa kustaafu wasipewe mikataba ya kuendelea na kazi Serikalini

singidadodoma

JF-Expert Member
Nov 11, 2013
4,394
1,536
STORY-WASTAAFU%2BWASIPEWE%2BMIKATABA%2BEDITED-page-001.jpg
 
Hii safi sana, na bado ile tabia ya mtu mmoja kujaziwa vyeo zaidi ya kimoja wakati jobless wako mitaani maelfu, mtu yeye mbunge, yeye mkuu wa mkoa, yeye Dr wa wilaya huu ni wazimu tu,
 
Wapi kovaaaa!!! Akalime kondoa huko..keshatufanyia komed nying sana mjin hapa.
 
Hii safi sana, na bado ile tabia ya mtu mmoja kujaziwa vyeo zaidi ya kimoja wakati jobless wako mitaani maelfu, mtu yeye mbunge, yeye mkuu wa mkoa, yeye Dr wa wilaya huu ni wazimu tu,

Acha kuchanganya mada dogo!
 
Acha kuchanganya mada dogo!

Nimechanganya wapi? Unamjua engineer Stella manyanya? Serikali iliyopita alikuwa na vyeo vingapi? Unajua kama alikuwa mbunge na mkuu wa mkoa? Itakuwa mzee wako au wewe unafaidika na ujinga huo,yule alikuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa na wakati huo huo mbunge pia wa viti maalum mkoa huo huo,
 
Kuna hawa majaji wanapofikia umri wa kustaafu ndo wanaa anza kusikiliza kwsi nyingi ili wapewe mkataba wa kumalizia hizo kesi. Wanatakiwa kustaafu na kutumika kwenye jamii kwa namna nyingine sio lazima kuendelea kuwa watumishi wa umma tu.
Zelothe stephen alistaafu polisi akapewa mkataba wa miaka 2 ulipoisha akateuliwa kuwa mkuu wa mkoa
 
Back
Top Bottom