CCM ni hatari sanaAliyeshiba hamjui mwenye njaa
Nashangaa hizi ajira wanazotangaza sijui za wachawi.Kama mwaka wa fedha 2016/2017 ajira zilikuwa elfu 90 na hazikuonekana hata kwa tochi, itakuwaje kwa mwaka huu wa fedha hizo elfu 50 si itabidi utambikie mizimu ndo uzione.
Tena wachawi sugu, mwaka wa fedha 2016/2017 umepita na kuacha vumbi tu bila ajira yoyote,leo tunaambiwa ajira elfu 90 zilitoka!!Nashangaa hizi ajira wanazotangaza sijui za wachawi.
Zilikuwa za MA-RCs, DC, DED, DAS na mabalozi.Kama mwaka wa fedha 2016/2017 ajira zilikuwa elfu 90 na hazikuonekana hata kwa tochi, itakuwaje kwa mwaka huu wa fedha hizo elfu 50 si itabidi utambikie mizimu ndo uzione.